Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Mbowwro mbili ni wamasai wanaita fagioIla kuna tohara zingine za ajabu sana, kuna tohara govi linakusanywa chini ya dushe ukipona unaonekana una dushe mbili, nilikuta watu wanaoga mtoni nilishangaa sana kuona aina hiyo ya tohara. Hata ukeketaji wanawake nao upo wa ajabu vilevile. Kuna wengine wanakatwakatwa kwa kucharangwa, wengine wanabakishiwa nusu na wengine wanatolewa yote. Tohara za kawaida nazo ziko tofauti, wengine wana kidevu na wengine hawana, inategemeana na fundi wa kukata
Awali niliona mbili nikajua ni maumbile, kucheki wa pili, tatu nao wanao mbili nikagundua ni aina ya ukataji govi linaviringishwa kwa chini na kuonekana ni mbili, ni kwa hao jamaa uliowatajaMbowwro mbili ni wamasai wanaita fagio
Raha ya tohara ndonga iwe kama kichwa cha samaki
inamaana huo ukataji wa wamasai wa kuzifanya zionekane mbili basi dhana ya kibamia haipo kwao, kwa maana mbili zinaingizwa zoteMbowwro mbili ni wamasai wanaita fagio
Raha ya tohara ndonga iwe kama kichwa cha samaki
Hata mimi first time nlipata client wa kabila hilo nkaona ila sikuuliza mpaka nlivoona tena ndo nikauliza mama yoyoo akanambia sisi waswahili hawawez kutupa sabab hatuna fagioAwali niliona mbili nikajua ni maumbile, kucheki wa pili, tatu nao wanao mbili nikagundua ni aina ya ukataji govi linaviringishwa kwa chini na kuonekana ni mbili, ni kwa hao jamaa uliowataja
Ile ya pili ina hit outer aspect ya heaven gate mama yeyoo wanasema wanasisimka zaidiinamaana huo ukataji wa wamasai wa kuzifanya zionekane mbili basi dhana ya kibamia haipo kwao, kwa maana mbili zinaingizwa zote
hicho kichwa cha samaki ina maana kile kichwa kile chenyewe kinapanuliwa tundu lake liwe kubwa kama mdomo wa samaki?Mbowwro mbili ni wamasai wanaita fagio
Raha ya tohara ndonga iwe kama kichwa cha samaki
Mtazame samak kaka kiubavu then ndo kiwe ivohiya kichwa cha samaki ina maana kile kichwa kile chenyewe kinapanuliwa tundu lake liwe kubwa kama mdomo wa samaki?
Ila kuna tohara zingine za ajabu sana, kuna tohara govi linakusanywa chini ya dushe ukipona unaonekana una dushe mbili, nilikuta watu wanaoga mtoni nilishangaa sana kuona aina hiyo ya tohara. Hata ukeketaji wanawake nao upo wa ajabu vilevile. Kuna wengine wanakatwakatwa kwa kucharangwa, wengine wanabakishiwa nusu na wengine wanatolewa yote. Tohara za kawaida nazo ziko tofauti, wengine wana kidevu na wengine hawana, inategemeana na fundi wa kukata
Nimekutana na hili tangazo kwa dokta fulani.
Naitaji kujua hii tohara ina utofauti gani na nyingine wakuu .tunataka kumtahiri dogo.
View attachment 2630407
yangu ni handsome, ilikatwa na kuchongwa vizuri, ina kakidevu kadogo, huvutia kutazama mpaka wanaumeWewe yako ikoje mkuu [emoji41]
Asante mkuuTohara ya ring/Plastibell
Huusisha:
1: Ring
2: Uzi
A: Uume hufunguliwa kwa ngozi ya mbele kurudishwa nyuma mpaka eneo ambalo kichwa cha uume huishia.
B: Uume husafishwa kuondoa uchafu wowote unaoweza kuwepo.
C: Ringi huvalishwa kwenye kichwa cha uume mpaka eneo lake la mwisho wa kichwa.
D: Uzi hufungwa kwenye eneo tarajiwa/ambapo ngozi ya mbele itakatikia.
E: Ringi huachwa na uzi ili kuendelea kuikata ngozi taratibu kwa wastani wa siku 6-7. Sehemu inayobaki mbele ya uume huweza kupunguzwa ili mtoto kujisaidia kirahisi.
D: Ringi huning'inia yenyewe kadri inavyoachia mpaka kudondoka.
NB: Dawa ya kuzuia maumivu hutumika/kuna discomfort wakati wa procedure pia wakati wa kuweka ring na ndani ya siku 5. Kuna ringi mbalimbali kulingana na umri wa mtoto au saizi ya uume. Very cosmetic.
Picha plsyangu ni handsome, ilikatwa na kuchongwa vizuri, ina kakidevu kadogo, huvutia kutazama mpaka wanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbowwro mbili ni wamasai wanaita fagio
Raha ya tohara ndonga iwe kama kichwa cha samaki
Mbna mateso hayaa.Tohara ya ring/Plastibell