Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,701
Una uhakika hajamenywa???Hiyo kampeni ingeanzia kwa mkuu wa mkoa Mwakipesile ndipo ishuke chini.
Una uhakika hajamenywa???Hiyo kampeni ingeanzia kwa mkuu wa mkoa Mwakipesile ndipo ishuke chini.
Ndizi ikimenywa inaleta raha sana, hao waliomenywa kwa nguvu wataona faida yake hapo baadae.
inamana kama umetairiwa mbona unapata ukimwi
Mh condom zimeshindwa,ABC nayo imeshindwa !sasa ni kutahiri .....lakini yote kumi ngono zembe ...yaelekea tumeshindwa vita sasa.
Una GOVI nini!Sasa hivi ukisikiliza redio kuna kampeni za kutahiri wanaume. Sasa niliposoma habari hii nikajiuliza bado kuna haja ya kuamini kuwa kutahiri wanaume kunapunguza uwezekano wa kuondoa ukimwi?.
Jisomee mwenyewe hapa: BBC News - Circumcision, the ultimate parenting dilemma
Una GOVI nini!
Unscientific argument Mbandu
Hivi umeisoma hiyo article kweli?. Kama wewe na Mbandu mngekuwa mmeisoma hiyo article mngeelewa kwa nini niliuliza hilo swali.Mjibu kwanza Mbandu ndipo nawe uulize.
inamana kama umetairiwa mbona unapata ukimwi
Tohara ya lazima kwa wanaume yaja
KUTOKANA na utafiti wa kisayansi kuonesha kuwa kutofanya tohara kwa wanaume ni moja ya sababu zinazochangia maambukizi ya Ukimwi, wanaume katika mikoa saba nchini wanatarajiwa kufanyiwa tohara ya lazima kuanzia mwakani kwa sababu inayo idadi kubwa ya wanaume wasiotahiriwa.
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema itaanza operesheni maalumu kwa kushirikiana na wadau wengine yakiwemo mashirika ya misaada kutoka Marekani, kufanya tohara kwa wanaume hao katika mikoa ya Mbeya, Iringa, Rukwa, Kagera, Tabora, Shinyanga na Wilaya ya Rorya mkoani Mara.
Chanzo: Habarileo
Hata mi cjatahiriwa nina miaka 18