Tohara kwa Wanawake ina faida gani?

Hakuna faida yeyote kukeketa wanawake bali ni hasara tupu. Ni moja ya mila potofu na ya kijinga sana tu
 
Kusema kwamba kutahiri wanawake ni "female genital mutilation (FGM)" ni sawsawa na kusema "breast implant ni female breast mutilation (FBM)". Tatizo sio kutahiri wanawake au kutahiri wanaume. Tatizo ni Mwafrika kujiamini na yale anayofanya. Mimi naamini wale walioanzisha hiyo tabia ya kutahiri akina mama na akina baba hawakuwa wapumbavu kama sisi leo tunavyoongea kirahisi sababu mzungu fulani kasema hii ni tabia mbaya. Ajali ziko hata hospitalini, lakini hatufunga hospitali. Magari na ndege zinaanguka na kuua watu kila siku lakini hawajafuta kusafiri, fikiri!
hebu tupe hizo dondoooo za faida zake zilizozidi hasara wewe mwenzetu unayefanya research na kufikiri.......

Kabla ya kupiga marufuku kutahiri akina mama tufanye utafiti wa kisayansi jamii na tuthibiti nini maana yake kutahiri akina mama. Mwalimu Nyerere alisema shida yetu Waafrika ni kutoa majibu rahisi rahisi kwa matatizo magumu sana. Mimi naongezea kwamba matatizo ya Kiafrika tusiyape kirahisi majibu ya Kizungu, ni kudumisha wendawazimu wa Mwafrika na huo ndio unafanya hadi kesho aonekane nyani tu mbele ya binadamu wengine.
hivi jamani shule wamezileta nani? mpaka sasa wewe unajua kuandikia na kusoma na mavazi nayo ya kujisitiri vizuri na tukapendeza?au wee mwenzetu bado unavaa magome ya miti? what about hospitals?unajitibu mwenyewe na dawa za kienyeji? imani na makanisa? otherwise u tell me ni mpagani, na nani hasa aliyoleta hiii technolojia mpaka mimi na wewe hatujuani lakini tunawasiliana leo? sasa mbona haya yote mazuri waliyoyaleta tumeyakubali ila wakituambia tohara ina hasara tukatae kisa kasema mzungu? sisemi tuyakubali na kuyakumbatia yote wanayotuambia au kutuletea lakini lazima tukubali yale mazuri na yenye faida kwetu jamani...

Kutahiri si kukeketwa na wala tafsiri yake kwa kiingereza si 'mutilation'. Wanaotudanganya kwa maneno hayo wao wana vitu vinaitwa 'tatoo' wana 'body piercing' na plastic surgery hata organ transplants. Mambo hayo wanayafanya sehemu mbovu na ngumu! Wakati mwingine wanatatoo na kupierce hata watoto wadogo wasio na uamuzi wa hiari. Je hawa wanakeketa na ku-mutilate?
kwangu mie nasema hiyo nayo ni mbaya kama ilivyo kukeketwa kwa mwanamke ,so sisemi ni nzuri kwasababu wamefanya wao but doesnt change the fact that hakuna faida ya kumkeketa mwanamke zaidi ya hasara.
Leo kuna utafiti unaobaini kwa kiasi cha kutosha kwamba wanaume wanaotahiri ni vigumu kidogo kuambukizwa virusi vya Ukimwi na tayari kuna mbiu ya kutahiri watu ili wajinusuru na Ukimwi. Wabongo muna habari? Si muda itakuwa sheria Tanzania wanaume wote lazima kutahiri! Bottoms up!!!!!??? Hey!

Circumcision May Lift HIV Risk for Women
Circumcision may reduce men's chances of contracting HIV by up to 60 percent, but early results suggest the procedure may put women at increased risk of infection. //

Early results announced at a U.N. consultation in Switzerland on the potential impact of male circumcision on AIDS in Africa suggested that if HIV-positive men do not abstain from sex while healing from circumcision surgery, their female partners might have a higher chance of catching HIV from them.

However, experts said the results were not conclusive _ and highly susceptible to other factors, such as condom use _ demonstrating the difficulties of utilizing circumcision in HIV prevention in sub-Saharan Africa, where more than 60 percent of those with AIDS are women.

Previous studies have confirmed the dramatic impact circumcision has in cutting men's HIV infection rates, but a big question has been the resulting effect on women.

The first evidence _ though very preliminary _ suggests there is a period immediately following surgery when men may more easily transmit the virus to their female partners.

"Women are already so vulnerable in this epidemic," said Jennifer Kates, an AIDS expert at the Kaiser Family Foundation who is not connected to the study. "We need to be particularly careful about anything that could put them at even greater risk."

Researchers at the Rakai Health Sciences Program and Makerere University in Uganda and the John Hopkins Bloomberg School of Public Health in the U.S. tracked 997 HIV-positive men in Uganda and their female partners.

Among 70 men with HIV who underwent circumcision, 11 of their female partners became infected with the virus in the month after the surgery. In contrast, only four partners of 54 uncircumcised men with HIV in the control group caught the virus _ nearly half the rate, early results showed.

Tufanye utafiti kabla ya kuiga vitu kama madodoki yasiyo na vichwa. Mungu hajaleta duniani wali wala ugali. Mbona tunaswaga pilau bila kusema huo ni uchafuzi wa mchele? Mungu katupa akili na yafaa tuitumie!

Medical consequences
Among practising cultures, FGC is most commonly performed between the ages of four and eight, but can take place at any age from infancy to adolescence. Prohibition has led to FGC going underground, at times with people who have had no medical training performing the cutting without [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Anaesthetic"]anaesthetic[/ame], sterilisation, or the use of proper medical instruments. The procedure, when performed without any anaesthetic, can lead to death through shock from immense pain or excessive bleeding. The failure to use sterile medical instruments may lead to [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Infections"]infections[/ame].
Other serious long term health effects are also common. These include urinary and reproductive tract infections, caused by obstructed flow of urine and menstrual blood, various forms of scarring and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Infertility"]infertility[/ame]. Epidermal inclusion cysts may form and expand, particularly in procedure affecting the clitoris. These cysts can grow over time and can become infected, requiring medical attention such as drainage. The first time having sexual intercourse will often be extremely painful for infibulated women, who will need the labia majora to be opened, to allow their partner access to the vagina. This second cut, sometimes performed by the partner with a knife, can cause other complications to arise.
A June 2006 study by the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/World_Health_Organization"]WHO[/ame] has cast doubt on the safety of genital cutting of any kind.This study was conducted on a cohort of 28,393 women attending delivery wards at 28 obstetric centers in areas of [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Burkina_Faso"]Burkina Faso[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Ghana"]Ghana[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Nigeria"]Nigeria[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Kenya"]Kenya[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Senegal"]Senegal[/ame] and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/The_Sudan"]The Sudan[/ame]. A high proportion of these mothers had undergone FGC. According to the WHO criteria, all types of FGC were found to pose an increased risk of death to the baby (15% for Type I, 32% for Type II, and 55% for Type III). Mothers with FGC Type III were also found to be 30% more at risk for [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Cesarean_section"]cesarean sections[/ame] and had a 70% increase in postpartum haemorrhage compared to women without FGC. Estimating from these results, and doing a rough population estimate of mothers in Africa with FGC, an additional 10 to 20 per thousand babies in Africa die during delivery as a result of the mothers having undergone genital cutting.

In addition, the amputation of the clitoris and other sensitive tissue reduces a woman's ability to experience sexual pleasure. For infibulated women, the consummation of marriage is likely to be painful because of the small vaginal opening and the lack of elasticity in the scar tissue that forms it. Tearing and bleeding may occur, or the infibulation scar may have to be cut open to allow penetration.
Infibulation may make intercourse unsatisfying for men as well as women: In a study of 300 polygynous Sudanese men, each of whom had one wife who had been infibulated and one or more who had not, 266 expressed a definite sexual preference for the uninfibulated wife; in addition, 60 said they had married a second, uninfibulated wife because of the penetration difficulties they experienced with their first wife, whose scarred vaginal opening became progressively more inelastic after each birth.12 Under such conditions, marital dissolution may occur, especially if a woman's fertility is affected. In Sudan, for example, one study found that infibulated women are almost twice as likely as other women to have lower fertility and more than twice as likely to be divorced.13 Thus, a practice that is justified as making girls marriageable and safeguarding their fertility may actually increase the risk of marital dissolution and subfertility.



Tuache kuiga, kutoa majibu rahisi rahisi kwa matatizo magumu na kuyapa maswali ya Kiafrika majibu ya kizungu! Matatizo yanayotokea wakati wa kutahiri akina mama tuyatafutie ufumbuzi, hatuwezi kutupa jongoo na mti wake tukawa kweli wasomi wa karne ya ishirini na moja. Tusiwe kasuku! Tufikiri kabla ya kulaani mila na desturi ambazo mababu zetu walizijenga kama wanafalsafa.
Anza na kutafuta ufumbuzi wa kurudisha hisia za kimapenzi za mwanamke aliyekeketwa zirudi kama awali kabla hajakeketwa
 
Haina faida, inachofanya ni kumnyima mwanamke haki yake ya kufurahia tendo la ndoa.

Tohara haipunguzi umalaya, kama mwanamke ni malaya, atafanya umalaya hata kama ametahiriwa.
 
Hebu ifanywe tadhimini sasa ya kuwa ni madhara kiasi gani yaliyopo kwa wanawake waliotahiriwa na wasiotahiriwa na ni asilimia ngapi kwa sasa.
 
Tohara ina faida. Ni alama wazi inayoonesha:
a. Mtu kutoka kwenye utoto na kuingia utu uzima. It is a visible sign of the rite of passage from childhood to adulthood. Bila alama hiyo ya kuonekana bado mtu haonekani kama amekua.[/QOUTE]

Makubwa haya. Na watoto wanaotahiriwa wakiwa wachanga nayo kwao pia ni sign ya kukua? au unazungumzia hao wanaotahiriwa wakiwa wakubwa?. Please do not mistaken it with jando ya kina kaka maana hao hiyo ngozi ni muhimu kutolewa.

b. Inamwonesha mtahiriwa kuwa maisha si lelemama. Ni magumu. Yabidi kuvumilia shida za maisha. Kumbe tohara ni kipimo cha ujasiri wa mtu. Ndo maana mwenye kutahiriwa hapaswi kulia kwa maumivu. Akilia daima watu wa rika lake watamcheka daima kwamba ni mwoga. Hawezi ku-face maisha
Kwa wanaume ntakubaliana nawe Sir but kwa mwanamke hapana kwanza mwanamke machozi ni njia mojawapo ya kujisafisha nafsi na ndio maana ni wepesi kuyamwaga hata kama ni hadharani. Sasa huu ujasiri mnaoulazimisha huu mh

c. Tohara inapunguza hamu ya mwanamke kufanya mapenzi. It seems to be negative. Lakini kwa kweli ukavu huu ni mtihani kwa kina baba. Kumbe lengo pia ni kupima kama kina baba wanaweza kuwavuta taratibu kwa ubingwa wao katika masuala ya tendo la ndoa mpaka wakawaweka katika hali ya hamu ya kufanya mapenzi. Kumbe mwanaume anayefaulu hilo anaokena pia ni mkomavu. Tohara ni kipimo cha ujuzi wa mwanaume anayemjamii mwanamke aliye tahiriwa

Amah asa kipimo cha kupima ujuzi wa mtu kikawekwe kwenye mwili wa mwingine baba duh! Inawezekana kikawa na ukweli lakini kwa jinsi ambavyo wanaume wengi hawawezi kutumia muda mwingi katika kumwandaa mwanamke basi wengi wa hawa watakuwa wanabakwa tu kwani muda na juhudi zinazotumika kumwandaa huyu ambaye hajatahiriwa wengi hushindwa sembuse kwa huyo alokaushwa!

d. Tohara -wanasema sina uhakika - wanasema inampunguzia mwanamke uchafu fulani katika sehemu zake. Katika jamii fulani hicho kitu kinachokatwa wanajamii wanakiita "takataka". Kumbe kinapoondolewa inaonekana ni kumweka mwanamke katika usafi kwa kiwango kikubwa
e. Tohara inamfanya mwanamke aolewe kiurahisi na wanaume wanaopenda wanawake waliotahiriwa. Bila kutahiriwa "amekula wa chuya".


Inategemea na kabila linalotahiri na huwezi kutoa conclusion bila kuwa na data ambazo zimefanyiwa tafiti- wanawake waliotahiriwa wanaolewa upesi kuliko wale wasio -wapi katika kabila hilo au hata na watu wa nje? Maana sipati picha utamu na heshima ya mwanamke aliyetahiriwa ionekane kwa wanaume wa kabila lake tu kiasi cha wao kumkimbilia au wanakuwa wanapromote ukabila?
 
Nimefuatilia sana wanaopinga tohara kwa Wanawake, lakini wanataja hasara tu.Faida nilizosikia kwa kuwahoji makabila yanayokeketa Wanawake ni haya yafuatayo:-

1. Kuzuia U.T.I kwa watoto wa Kike.

Sio kweli, wanawake waliokeketwa ndio wanaongoza kwa UTI. Kumbuka kuwa wanakatwa na kushonwa, na hii inawafanya watunze uchafu zaidi ndani ya nanihii zao.
2. Kupunguza msuguano wa uke na hivyo kupunguza ashki ya kingono kwa Msichana.

Sio kweli, hakuna msuguano wowote wa uke kwa mwanamke yeyote. Msuguano uko kwenye mapaja. Licha ya hivyo, hata ungekuwepo, ashki ya kingono kwa mwanamke haisababishwi na msuguano bali huanzia akilini. Kama mwanamke asipokuwaza na kuku-imagine hawezi kupata ashki.

3. Kuzuia uhuni/umalaya kwa Wasichana/Wanawake.

Sio kweli, maana wanapoolewa wanafanya hilo tendo na waume zao. Ingekuwa inazuia basi wasingeweza tena kufanya ngono kabisa. Ina maana wale ambao hawajaolewa bado wanao uwezo wa kuliendeleza na wanaume wengine na wale walioolewa na watu wasiowapenda bado wanaendeleza kwingineko - na huo ndio uhuni/umalaya.

4. Kumuweka Msichana katika hali ya utuuzima.

Sio kweli, maana hata watoto wadogo hufanyiwa na hubaki watoto wadogo. Sioni jinsi wanavyo upata huo utu uzima.

5. Kumfanya mwanamke atulie katika Ndoa.

Sio kweli, hata waliokeketwa huacha na kuachika kama wengineo. Ukeketaji hauzalishi upendo baina ya wanandoa.

Wana JF haya niliyosikia ni ya kweli katika hali halisi ya maisha?

Hayo uliyotaja yote si ya kweli bali unyanyasaji wa hali ya juu. Kama kweli kuna faida basi waachwe wenyewe wajipeleke hospitali kwa hiari kuomba hiyo huduma, mbona wanalazimishwa??

Kuna mengi tu siku hizi tunayasikia kama breast enlarment, face uplifts, kutoa tumbo n.k ambayo wahitaji wenye uwezo wao wanaenda hospitali wanalipa na wanafanyiwa. Whether yana faida kwao ama la, hakuna wa kuwauliza maana wamechagua kwa hiari yao bila kushurutishwa. Mbona kwenye ukeketaji hatuwapi uhuru huo kama kweli kuna faida za wazi nyingi hivyo??

Watu wanaoendekeza zaidi hili zoezi ni wale walioko vijijini kule ndani ndani. Huku mijini sehemu ambako watu wanajua madhara yake wanalipiga vita. Ni kwa nini? Kwamba kweli kuna kitu kizuri ambacho walioelimika hawajakigundua kiasi hicho? Hapana! Huu ni utamaduni wa kishenzi tunaohitaji kuondokana nao.
 
Back
Top Bottom