cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
Naona msisitizo sana wa watu wakiume kufanya circumcision kutoka madhehebu ya dini mbalimbali na pamoja na secta ya Afya hata mila za desturi za makabila mbalimbali
lakini swali ninalo lipata niumuhimu gani hasa wa kufanya tohara kwa wanaume
kwa slogan ya sasa wanasema inapunguza maambukizi ya ukimwi lakini ukiangalia nchi ambazo hawaweki kipaumbele suala hili wako chini sana kimaambukizi.
Kuna nchi kama Cape verde na Brazil issue za circumcision sio za lazima kabisa na nimekutana na jamaa watu wazima hadi wazee from those countries wana afya na hawaja tahiriwa na hawajivungi kwenye beach zao unawakuta wana vinjali wazi wazi kabisa.
je circumcision ni muhimu sanaaaaaa kiivyo.