Togo tower ipo kinondoni karibu na kinondoni makaburini, kama ukipanda magari ya kutoka makumbusho kwenda posta/steshen, yakishakatiza tu yale mataa ya pale kinondoni manyanya kuelekea road inayotokeza ubalozi wa India mwombe konda msaada Togo house, ama ukifika kinondoni manyanya uliza mtu yoyote akuelekeze ilipo Togo house
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums