Together-ruben studdard

Mkuu BIG UP kwa uandishi makini, nimependa ulivyojenga hoja hapo, wasi wasi wangu nilidhan ungeomba ushauri, bt umeonyesha kitu flan hv. Nadhan sasa mrudie shemeji mkaweke mambo sawa coz utamfanya awe mpweke. Hisia za huo wimbo zikufanye uwe mpole msolve hzo conflicts!
Gagurito, sasa ulifikiri aombe ushauri wa nini wakati mwenzio yuko in love ana express feelings zake kwa mpenzi wake? na nahisi yuko humuhumu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom