Tofauti .........

Tulizo kuwa kwetu kwenye kundi la wanyama kusitufanye tuact kama wanyama.Tumepewa akili tuweze kuchambua mambo na kufanya maamuzi binafsi hivyo ni maamuzi tu wala sio asili yetu.

Nimekubali..nadhani hiyo nayo imeshaingia kwenye list ya visingizio.. :)
 
Lizzy mpenzi kama kuna mtu alikuwa anajua kuamini watu ni mimi na nikisema namaanisha lakin muda unavoenda nimejifunza watu wengi wanayosema ni tofauti sana na matendo mwisho wa siku maisha yanakufunza kufanana nao nimekuwa mgumu sana siku hizi kuamini anayosema mtu especial kwenye mapenzi.

Mpenzi usanii ulikuwepo tangu zamani ila sasa hivi umekithiri kwakweli.
Achilia mbali kuamini watu wengine...inabidi hata sie wenyewe tuwe tunajiuliza mara mbili mbili kama tunamaanisha tusemayo...
 
Aisee nimekumbuka,watu tupo tofauti,lakini ni vizuri tukaangalia kwanza mambo ya kimaumbile,tunaweza kuchanganya hayo mambo na ujinga wetu wanadamu,tuwe makini kunatofauti ya kimaumbile kati ya mwanaume na mwanamke,kama kuna tofauti hiyo ushauri na mitazamo yetu izingatie tofauti hiyo!
 
ni kweli nafikiri pia nimekuwa muoga na makini pia siku hizi so far naona inanisaidia sana.
Mpenzi usanii ulikuwepo tangu zamani ila sasa hivi umekithiri kwakweli.
Achilia mbali kuamini watu wengine...inabidi hata sie wenyewe tuwe tunajiuliza mara mbili mbili kama tunamaanisha tusemayo...
 
Aisee nimekumbuka,watu tupo tofauti,lakini ni vizuri tukaangalia kwanza mambo ya kimaumbile,tunaweza kuchanganya hayo mambo na ujinga wetu wanadamu,tuwe makini kunatofauti ya kimaumbile kati ya mwanaume na mwanamke,kama kuna tofauti hiyo ushauri na mitazamo yetu izingatie tofauti hiyo!

Kwahiyo maumbile ndio yanaendesha watu kufanya mambo yanayoshangaza??
 
No Lizzy,maumbile hayamfanyi mtu kufanya mambo ya kijinga,yapo mambo ambayo lazima ujinga wetu unatuongoza kuyafanya na ni lazima tuwe responsible,huwezi kucheat ukakamatwa ukaulizwa unasema "shetani alinipitia",huo ni ujinga usiovumilika na pia hiyo sio sababu!
 
Nakubaliana na wewe....ndi maana swala la maumbile sipendi kulihusha kwasababu maumbile hayatakiwi kuendesha akili bali akili inatakiwa iendeshe maumbile.
 
mimi bana ukinibamba na una ushahidi wa kutosha inakula kwako itabidi uamue unachotaka,hivyo ukiamua kuja kunifumania uwe pia umekwisha kata na shauri kuhusu hatima ya mahusiano yetu.Nikibambwa mimi huwa nakula kobisi tu.

Aisee! sishangai pia kwani nyie wajomba zangu nshomile mpaka bulaya wababe sana lol
 
Wanawake wapo tayari kusamehe na kuvumilia matendo machafu ya mumewe ila mwanaume kosa moja tu utatimuliwa.
Ama kweli kunya anye kuku.......
 
Wanawake wapo tayari kusamehe na kuvumilia matendo machafu ya mumewe ila mwanaume kosa moja tu utatimuliwa.
Ama kweli kunya anye kuku.......
Sehemu kubwa hua hawasamehe kwasababu wanapenda ila either kwasababu bado wanamhitaji huyo mwanaume au wanajaribu kuwakomoa wezi wao.
Na wanaume nao wapo wanaosamehe tena kupitiliza....
 
Sehemu kubwa hua hawasamehe kwasababu wanapenda ila either kwasababu bado wanamhitaji huyo mwanaume au wanajaribu kuwakomoa wezi wao.
Na wanaume nao wapo wanaosamehe tena kupitiliza....
sababu nyingine ya kusamehe inaweza kuwa utegemezi. Mwanamke mama wa nyumbani na vitoto kibao, hata mmewe akiwa anafanya madudu anakuwa mwepesi kusamehe maana huyo ndio tegemezi lake kiuchumi..
 
Hii ni spot on babake, nimekukubali Lizzy na analysis yako! Kula tano.

Mawife huzusha visingizio lukuki ila vyote ni vile vinavyoondoa wajibu (responsibility) kwake; na akidakwa basi kunyanyaswa kwa mwanamke hapo hakuepukiki.

Ma-husband visingizio ni kutoridhika nyumbani na husingizia kukosekana kwa huduma ya kutosha ndani! Midume ikidakwa mara nyingi inaomba msamaha (inakubali yaishe).

Hii ume-hit jackpot!!
 
Back
Top Bottom