Tofauti .........

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,821
59,427
.......kati ya wanaume na wanawake linapokuja swala la kutoka kwenye mahusiano na kuingilia mapenzi ya wengine.

Haya mawazo nimeyapata baada ya majadiliano yaliyokuwepo kwenye mada ya NK https://www.jamiiforums.com/mahusia...t-help-you-guys-to-rescue-your-marriages.html ...

...Wanawake wakicheat lazima wawe na visingizio vinavyowahusu wenzi wao....ananinyanyasa..mapenzi hamna..hanijali..haniridhishi n.k
Ngumu sana kwa wao kukubali kwamba wamekosea bila kumtumia lawama mwanaume.
...Wanaume wanasingizia nature pia wanakubali kwamba ni matokeo ya tamaa zao (kula mboga moja kila siku kunakinahisha)...japo wapo wenye visingizio kama vya wanawake sio asilimia kubwa kama wanawake.

...Mwanamke anaetoka na mume wa mtu anaona sifa na kudhani kwamba amemuweza mwenye mume.
...Mwanaume anaetoka na mke wa mwenzake anamuonea huruma mwanaume mwenzake nakumshusha hadhi huyo mke.

...Mwanamke anaona sifa mwanaume akimuacha mkewe na kukimbilia kwake na ni rahisi kukubali ndoa nae kuonyesha kwamba yeye ni zaidi ya aliyeachwa.
...Mwanaume anaona mwanamke anaekubali kumuacha mumewe kwaajili yake hafai na ni wachache wenye ujasiri wa kuendeleza nao mahusiano achilia mbali kutaka ndoa.

...Mwanamke akibambwa analia na kujifanya yeye ndio victim.
...Mwanaume anakataa kwamba sio kweli....kama kuna ushahidi wa kutosha anamsingizia shetani kisha anaomba samahani.

..................what else???

Na hapana simaanishi wote ila majority....
 
Kukutana kimwili nje ya mipaka ya ndoa huitwa zinaa au uasherati. Mtume Paulo alisema kwamba wale watendao mambo kama hayo hawataurithi ufalme wa Mungu (ona 1Wakor. 6:9-11). Ingawa Mkristo anaweza kujaribiwa na pengine kufikia kuanguka katika tendo la uzinzi au uasherati, atajisikia hatia kubwa sana rohoni mwake, itakayompelekea kutubu.

Lakini kwa sababu ya zinaa, kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake. Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe. Vivyo hivyo, mume hana amari juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu (1Wakor. 7:2-5).

Hallelujah!! mbarikiwe na bwana.
 
Sasa dada mbona umemaliza kila kitu, umetiririsha kwa mtiririko mtamu nlkuwa nataka nisome tu.
Huo ndio ukweli wish ningekuwa mwanasaikolojia ningejua jinsi ya kuiweka hyo ili nisikimbilie tu kusema "nature"
Hizo kweli ni tofauti, na 95% ya wanaume tupo hvyo!
 
jG umemaanisha nini kwenye RED?
 
Kama ulivyoeleza mwanzoni, kwamba kila kundi linapoangukia kwenye makosa hueleza sababu kadhaa za kuhalalisha makosa husika na miongoni mwa sababu hasa kwa wanaume tunasema eti ni "uasilia" husababisha wengi wetu kutoka nje ya ndoa japo mi sikubaliani sana na hili,
Sasa hapa tunapojaribu kujadili hizi "TOFAUTI" pia ningependa sana nisitumie hyo hoja ya "nature", nadhani hapo umenielewa!
 
mna generelize sana...wapo wanaume wanatembea na mke wa mtu na kumuoa baada ya
mke kumkimbia mume pia.....na ni wengi mno........
 
...................

majority kasema nani?
nani alikusanya data akasema wanaume wanaotembea na wake za watu
wanawashusha thamani hao wanawake?

hizo ni assumptions tu tena za kitanzania zaidi.....

wanawake wengi walioolewa mara ya pili au tatu..walianza affair kabla hawajaachana na waume zao wa mwanzo...

na mwisho waliolewa na wanaume ambao mwanzo walikuwa wanaume wa nje.......msi generalize kihivyooo
 
Hapo kwenye red REALLY???
majority kasema nani?
nani alikusanya data akasema
wanawake wengi walioolewa mara ya pili au tatu..walianza affair kabla hawajaachana na waume zao wa mwanzo...
Nwy pole, samahani kama nimekuoffend...nimeongelea nnayoona na kusikia.
 
mengine ya kweli na mengine yanahitaji utafiti zaidi, ilikukamilisha taarifa. Lol
 
hujani offend aisee
but nimeanza kuona 'kitu kikiwa popular opinion jf'
hata kama sio sahihi tunaanza kufikiri 'ndo ilivyo'

kuhusu wanawake wanaoolewa 'mara ya pili na tatu baada ya affair
naomba uanze 'kuchunguza leo na kuuliza uliza'

ntakupa mfano mmoja maarufu mno...

Anna Abdallah ambaye alikuwa mwanamke powerfull na siasa za Tanzania...
naomba uulize historia ya love life yake

I have been looking around for data about that....so far nasimama nilipo.
 
Boss wala usishangae data nyingi zitakuwa zimetoka kwenye jamii kama yetu ambapo wengi ni wanafiki kwenye suala zima la mahusiano
majority kasema nani?
nani alikusanya data akasema wanaume wanaotembea na wake za watu
wanawashusha thamani hao wanawake?

hizo ni assumptions tu tena za kitanzania zaidi.....

wanawake wengi walioolewa mara ya pili au tatu..walianza affair kabla hawajaachana na waume zao wa mwanzo...

na mwisho waliolewa na wanaume ambao mwanzo walikuwa wanaume wa nje.......msi generalize kihivyooo
 
.......kati ya wanaume na wanawake linapokuja swala la kutoka kwenye mahusiano na kuingilia mapenzi ya wengine.

Haya mawazo nimeyapata baada ya majadiliano yaliyokuwepo kwenye mada ya NK https://www.jamiiforums.com/mahusia...t-help-you-guys-to-rescue-your-marriages.html ...

...Wanawake wakicheat lazima wawe na visingizio vinavyowahusu wenzi wao....ananinyanyasa..mapenzi hamna..hanijali..haniridhishi n.k
Ngumu sana kwa wao kukubali kwamba wamekosea bila kumtumia lawama mwanaume.
...Wanaume wanasingizia nature pia wanakubali kwamba ni matokeo ya tamaa zao (kula mboga moja kila siku kunakinahisha)...japo wapo wenye visingizio kama vya wanawake sio asilimia kubwa kama wanawake.

...Mwanamke anaetoka na mume wa mtu anaona sifa na kudhani kwamba amemuweza mwenye mume.
...Mwanaume anaetoka na mke wa mwenzake anamuonea huruma mwanaume mwenzake nakumshusha hadhi huyo mke.

...Mwanamke anaona sifa mwanaume akimuacha mkewe na kukimbilia kwake na ni rahisi kukubali ndoa nae kuonyesha kwamba yeye ni zaidi ya aliyeachwa.
...Mwanaume anaona mwanamke anaekubali kumuacha mumewe kwaajili yake hafai na ni wachache wenye ujasiri wa kuendeleza nao mahusiano achilia mbali kutaka ndoa.

...Mwanamke akibambwa analia na kujifanya yeye ndio victim.
...Mwanaume anakataa kwamba sio kweli....kama kuna ushahidi wa kutosha anamsingizia shetani kisha anaomba samahani.

..................what else???

Na hapana simaanishi wote ila majority....

Lizzy............. your progress towards maturity surpasses any expectations in my life

You have come too far and i am not here to asses you but i must admit i am learning from you more and more as days come and pass by
 
Kwa mara ya kwanza katika historia,

Leo niko bega kwa bega na mshiki wangu!

Huu ndio ukweli halisi bila kutafuna maneno........... Atakayembishia Lizzy atakuwa anakikimbia kivuli chake na anabishana na hali halisi!....Atakuwa muongo, mzandiki, mnafiki, mpotoshaji,mbabaishaji na mwizi mtupu!!!

Lizzy, uje huku nikupe zawadi yako!!!
 
Back
Top Bottom