Tofauti za kiuchumi vs mapenzi na ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tofauti za kiuchumi vs mapenzi na ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by nipeukweli, Oct 5, 2012.

 1. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  habari zenu wadau...

  hivi ni athari zipi zilizopo wapenzi wanapokuwa na tofauti za kiuchumi/kifedha? tafakari mfano huu...

  kuna kijana na binti wanapendana sana, yaani saaaana. kijana ni mtu aliyefanikiwa sana kifedha mapema, amesoma ana nyumba kadhaa, magari na mali zinginezo za kuhamishika na zisizohamishika. mbali na juhudi zake za kimaisha, kijana anatokea familia inayojiweza sana. Binti amemaliza chuo kama miaka miwili iliyopita na anafanya shughuli zake bila kutegemea network ya kijana. kipato cha binti ni cha kawaida (wastani wa laki 5 kwa mwezi) na anatokea familia ya kipato cha kati.

  wawili hawa wanataka kufunga pingu za maisha ila wazazi wa kijana wanatia ngumu kwasababu binti hatoki katika familia yenye daraja lao la kifedha.

  swali langu; kwani huo utofauti wa kifedha baina ya hao wawili au familia zao unaweza ukawa na athari zipi katika ndoa yao?

  karibuni tujadili....
   
 2. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ahsante!manake kidogo nianze kucheza karata
   
 3. unknown animal

  unknown animal JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 18, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  pima uwezo wa kufikiri wa wazaz wa kijana
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,309
  Likes Received: 13,018
  Trophy Points: 280
  Mmmmmh hapa napo kweli kuna neno

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wazazi wana mawazo mgando.
   
 6. Evelyn Salt

  Evelyn Salt JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 45,191
  Likes Received: 32,123
  Trophy Points: 280
  Wazazi wengine bwana! sa hapo utajiri wa familia una nafasi gani katika hiyo ndoa.
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm hapo kusema kweli mie naona tatizo ni kwamba huyu jamaa itabidi audumie sana family ya demu pale panapo tokea tatizo. sasa mambo ya kubeba msalaba ambao sio wako ni noma. pili ukweli ni kwamba financially itafika sehemu mwana ataona kero maana wewe tuu.
   
 8. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  unapenda karata huogopi kuolewa? lol
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hiyo ishu ni ngumu mno kulingana na culture
  je wazazi ni makabila yaapi? wahindi au waarabu ni ngumu mno matajiri ku mix na masikini

  na kama tayari wazazi wa mvulana wameshasema hawataki
  huyo binti salama yaka wakakae mbali ikiwezekana wahame mji
  ili kuepusha shari nyiingi zitakazokuja

  kuna hatari pia ya kunyanyasika wazazi au ndugu wa binti pia
   
 10. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ah mie mtoto wa kike babu!niogope kuolewa ili kiwe nini?raha ya karata kuoa na kuolewa!ila sijacheza mapiku siku nyingi ngoja leo ndiyo iwe turn on ya siku!
   
 11. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  wahusika wote ni none other than Chaggas. kijana, parents wake, binti na familia yake....wooote chaggas.
  familia ya binti pamoja na kwamba wana uwezo wa kati, hawana mpango wa kulia njaa kwa mtu yeyote (if u get what I mean)...ni jeuri in a way japo hawana pesa kubwa kama ya upande wa pili.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Wachaga wapo wa aina nyiingi but kama ni hivyo
  basi watawezana tu...sioni big deal hapo
   
 13. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  ha ha haaa hata signature yako tu inajieleza mkubwa...
  ni kwamba familia ya binti pamoja na kwamba wana uwezo wa kati, ni jeuri na hawana mpango wa kulia njaa kwa mtu. ndiyo maana binti hakutaka kutegemea network ya kijana ili kuanza lyf yake...anapigana kivyake
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mapiku ipo online?
  au ushapa zombie la kucheza nalo karata? lol
  halafu likusindikize saloon? lol
   
 15. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Ah hivi mpka sa hizi naweza kuwa na zombie kweli?nilidhani ni kina lara 1 tu.sio kucheza mapiku online naenda kulianzisha home leo,af najifungisha makusudi yani nafanya juu chini kufuga jike ili niolewe UPYA!nikitoka hapo ahhhh si haba lazima nipelekwe honeymoon ya kwenye neti!
  :focus:uwezo wa kichumi kwenye ndoa unaweza kuathiri hiyo ndoa iwapo tu
  -wanaotaka kuoana hawana msimamo wao kama wapenzi
  -wanauvalue vipi uhusiano wao
  -wanajitegemea kiasi gani kimaisha
  vinginevyo waoane kwa kwenda mbele hao wazazi wa huyo mwanaume wakitaka mtoto wao aoe wenye uwezo basi wamtafutie jengo la benki alioe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Mjanga

  Mjanga JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 1,246
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Kwa jamii zetu za kibongo hata kama mwanaume ni maskini na ameoa familia tajiri
  bado ataiudumia tu familia ya binti! kukamuliwa kama kawa, kwa sana!

   
 17. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hii kitu ni kama norm kwa familia zenye uwezo.hapa familia inajaribu kusecure family wealth and status kwenye society.family zenye uwezo huwa zinamaintain kizaz ambacho mtoto anakuwa nurtured toka mdogo na anajengewa misingi mizur ya elimu na family values,hivyo bac wasingependa kuruhusu misingi hiyo kuvurugwa katika uzao.kijana kuoa lofa au kuolewa na lofa ni kumix na kuharibu social status ya family husika.s6 hata akimwoa huyo binti kamwe famiy yake haiwey kumkubal na atateseka pac kufurahia ndoa hiyo
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  so true lol
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhhh lol
   
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  umeguni nini hapo sasa manake kwa maambiguity wewe hujambo!
   
Loading...