Tofauti za kiuchumi vs mapenzi na ndoa

nilifikiri kila mwanamke ana ma zombie lol...

hahhahhhahhha au unadhani yule wangu wa ile story nae kwani ni zombie jamani,manake huwa namload na stress zangu zote za mahusiano toka tunakua jamani!ah no yule sio zombie bana!ni booonge na best boy friend!
 
Hao wazazi wa kijana bila shaka wanaamini bado nyerere ni raisi!
kwa kuwa kijana anajiweza aweke ngumu tu kwenye mpango wake.
 
kama kweli hao wawili wanapendana i dont c problem in their marriage to be, maneno ya wazazi hayatawakatisha tamaa kufanya kile walichokusudia. wazazi wenye busara watapiga mkwara kwa kitambo tu, wakiona ngangari watawaachia waendele na mipango yao.
 
hahhahhhahhha au unadhani yule wangu wa ile story nae kwani ni zombie jamani,manake huwa namload na stress zangu zote za mahusiano toka tunakua jamani!ah no yule sio zombie bana!ni booonge na best boy friend!

is he a bf still?
 
wahusika wote ni none other than Chaggas. kijana, parents wake, binti na familia yake....wooote chaggas.
familia ya binti pamoja na kwamba wana uwezo wa kati, hawana mpango wa kulia njaa kwa mtu yeyote (if u get what I mean)...ni jeuri in a way japo hawana pesa kubwa kama ya upande wa pili.
Kama ni Chagazzzzzzzzzzzz...........loading........................0.1%
 
Back
Top Bottom