Wasalaam wanajukwaa!
Hii habari sidhani kama inafaa kuwa kwenye jukwaa la mapicha picha kwa maana inatufundisha mengi, moderators mtanisaidia kama nimekosea. Chukulia ndio mnategemea kutoka pamoja asubuhi na hasa wale mnaoishi zenu mijini mkikimbizana na usafiri, foleni nk.
Je, unakubaliana na maelezo ya picha au ni uzushi?
kuna ukweli fulani. Ndiyo maana maandalizi ya safari zao huanza mapema zaidi ili waendane na muda mf. appointment. Kitu chengine ni uzito wa usiyoutegemea katika vijizigo vyao vidogo, sijuwi nani kawafundisha kupeki!