wakikosi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,354
- 1,483
Umri mkipishana sana kat ya wapenz,madhara yake ni pamoja na yule mtu mwenye umri mkubwa sana huwa anamlazimisha mpenzi wake mdogo afanye kile kitu ambacho yeye anaona kinafaa,hivyo kupelekea kubuzwa kimaamuz kwa mtu mwenye umri mdogo,pia katika maswala ya ngono umri ukienda sana binadamu huwa anapoteza hamu ya tendon la ndoa hivyo kusababisha kutoridhishana kimahaba katika hali hii inasababisha michepuko kwa mtu ambaye anaumri mdogo ili akaridhishwe na vijana wenzake.