Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,231
- 1,142
Sina utaalamu, but intuition tells me that software is a generic term while a program is specific for a certain function in the software arena!Habari zenu wapendwa!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua utofauti kati ya "software" na "program" ambazo kimsingi zote zinatumika kwenye kompyuta. Na pia nahitaji kujua mfano wa "Softwares" na " programs" ktk kompyuta.
Nauliza swali hili kwa kuwa toka mda mrefu nimekuwa Nikichanganyikiwa kujua tofauti zao, sababu miaka ya nyuma (kabla sijajua kukutumia kompyuta vizuri) nilidhani ni kitu kimoja. Sina taaluma ya IT wala "Computer Science ".
Karibuni kwa ufafanuzi.
Bado sijakuelewa, toa mfano wa software na program.Sina utaalamu, but intuition tells me that software is a generic term while a program is specific for a certain function in the software arena!software is made up of a bunch of programs!
siyo mtaalamu lakini intuition inanielekeza kuwa say App ya ITV inaweza kuwa imetengenezwa kwa software yenye vi program kadhaa ili iweze kufanya kazi iliyokusudiwa..... All in all unaweza ku google ukapata jibu sahihi. mimi sijagoogle najaribu kutumia intuition!Bado sijakuelewa, toa mfano wa software na program.
Habari zenu wapendwa!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua utofauti kati ya "software" na "program" ambazo kimsingi zote zinatumika kwenye kompyuta. Na pia nahitaji kujua mfano wa "Softwares" na " programs" ktk kompyuta.
Nauliza swali hili kwa kuwa toka mda mrefu nimekuwa Nikichanganyikiwa kujua tofauti zao, sababu miaka ya nyuma (kabla sijajua kukutumia kompyuta vizuri) nilidhani ni kitu kimoja. Sina taaluma ya IT wala "Computer Science ".
Karibuni kwa ufafanuzi.
Nashukuru kwa maelezo mazuri, nimepata mwanga.1. Program Zote ni software.
2. Software ni maelezo (Instructions) zinazotumika kwenye computer ambazo sio Tangible yaani huwezi kuvigusa au kushika. Kinyume cha software ni Hardware.
3. Software zipo za aina kadhaa:
- System software (Operationg system) kama vile windows OS, Mac OS, Linux OS etc(Hii sio program)
- Firmware , Haya ni maelezo/instruction mama ambayo inatangulizwa kwenye Chip (IC) kabla ya kitu chochote( hii sio program)
- Application Software kama vile MS Office, Adobe, Nero etc (Hizi ndio pia zinaitwa Programs na huwa zinawekwa baada ya OS na ndizo mtumiaji wa computer device anazitumia kufanya mambo yake.)
- Utility Software (program ndogo ambayo inafanya kazi maalum, kama vile Disk management au kile unachotumia kuongeza sauti kwenye computer ambayo ipo ndani ya OS i.e ya windows hii pia ni program ingawa inakuwa embeded kwenye kitu fulani).
Nilijaribu ku-google, lakini bado sikuelewa vema.siyo mtaalamu lakini intuition inanielekeza kuwa say App ya ITV inaweza kuwa imetengenezwa kwa software yenye vi program kadhaa ili iweze kufanya kazi iliyokusudiwa..... All in all unaweza ku google ukapata jibu sahihi. mimi sijagoogle najaribu kutumia intuition!
umeona eh, maelezo yangu basically ni sawa na huyu wa mwisho. ... intuition.....Nashukuru kwa maelezo mazuri, nimepata mwanga.
exactly!Ngoja nijaribu. Ukisema software unazungumzia ujumla ambamo kuna programs tofauti zinafanya kazi fulani. Mfano, calculator ni software ambamo programs zake ni kujumlisha, kutoa na n.k...
Je, wanaposema "MS office " haiwezi kuwa software?program ni single function pale inapokuwa kwenye non execution state( kwenye hard disk) ila inapokuwa kwenye execution state ( kweny Ram memory inaitwa process),
software ni muunganiko wa program mbalimbali mfano OS ni software kwa sababu imebeba program mbalimbali
Wa mwisho ni yupi mkuu?umeona eh, maelezo yangu basically ni sawa na huyu wa mwisho. ... intuition.....
Hili ni swali au maelezo?Tofauti ya maji na water ni nini
Microsoft ina software mbalimbali mfano word,excel,powerpoint ndo maana inaitwa Microsoft package cos imebeba many software zenye different functionJe, wanaposema "MS office " haiwezi kuwa software?
hapo ni zenye same function Example Microsoft office ina beba function za office uwez itumia nje na matumizi ya kioficeMicrosoft ina software mbalimbali mfano word,excel,powerpoint ndo maana inaitwa Microsoft package cos imebeba many software zenye different function
Ni kama pesa na fedha.Bado sijakuelewa, toa mfano wa software na program.