Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,207
- 1,109
Habari zenu wapendwa!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua utofauti kati ya "software" na "program" ambazo kimsingi zote zinatumika kwenye kompyuta. Na pia nahitaji kujua mfano wa "Softwares" na " programs" ktk kompyuta.
Nauliza swali hili kwa kuwa toka mda mrefu nimekuwa Nikichanganyikiwa kujua tofauti zao, sababu miaka ya nyuma (kabla sijajua kukutumia kompyuta vizuri) nilidhani ni kitu kimoja. Sina taaluma ya IT wala "Computer Science ".
Karibuni kwa ufafanuzi.