Hapa naviona vifisadi viwili kazini, kimoja kinakusanya ndege Loliondo kupeleka Falme za kiarabu,hicho kingine ni kimeddle man kinafanya mawasiliano na mfalme alete ndege fasta KIA kuchukua wanyama.Umasikini unatoka wapi hapa?
Msapinungu wao si mafisadi wao wana mapesa na hayana kazi ya kuzifanyia na ndo maana wanakuja huku na sisi kwa njaa na taama yetu tunawapokea na kuwa ruhusu wafanye watakavo na kuwa jazia ndege maliasili sisi tuko bezy na rasimu ya katiba