Tofauti ya Mzungu na Mwafrika

sisi waafrika ni nuksi, unajua nini embu fikiria wangunduzi wote asilimia 99% ni wazungu. Kwanini wasiwe waafrika, waarabu, wahidi au watu wa bara la asia?
Tukubal tuu sisi ni....
Yaa uwezo wenu ni wa kuona na kunusa mbunye tu

tosha kabisa. Hayo mengine ni anasa tu hayahitajiki

saana.
 
Hakukuwa na ulazima wa kunukuu kama alivyo sema...!!

Kama umeshindwa kuipangilia vizuri kauli/sentesi aliyo ongea, ulikuwa unawasiliana nae vipi katika/ndani ya hizo siku tatu..!!

Ni bora ungewasilisha kauli yake kwa kiswahili, ili tunukuu na kufahamu alicho kuwa anamaanisha.
 
According to the bible inasemekana baada ya gharika ya Noah watu waliokuwa marijali kwenye ile Safina walikuwa watatu na wote walikuwa watoto wa Noah.
Nao ni Haami, Shaami na Yafeth. Inasemekana siku moja Noah aĺlipiga kilaji mpaka akawa amelala huku mambo hadharani yaani uuchi kabisa Yafeth alivyoona vile akacheka saana. Shaami yeye alivyohisi hilo tukio alimtaarifu kaka yake Haami ambaye alichukua shuka na kurudi nayo kinyume nyume mpaka alipo Mzee Noah na kumsitiri aibu yake
Hivyo inasemekana sisi Waafrika ni kizazi cha Yafeth
Shaami ni kizazi cha Waarabu, Asians na Chinese
Na Haami ni kizazi cha Wazungu
 
mzungu angeleta kila kitu africa ila sio silaha maana kutokana na maoni yake ametupa kitu kibaya kabisa n kama kumuachia mtoto sumu aishike.[HASHTAG]#all[/HASHTAG] in all get well soon lissu walokushambulia ndio wanafanya alichosema mzungu kipate nguvu kwa huyu mleta mada
 
Ni ukwl mgumu kukubali ila ni ukwl mtupu harusi zenyewe tunachanga ada hapana hapo ndio nashangaaga sana spirit yetu tofauti kabisa mwanaume akipata pesa ni kuongeza kimada chapuchapu....umbeya ,chuki,vijiba,vihoro.....ila tuna mila zetu nzur sisi hatuendi uchi ,binti hawez kuogelea na kaka na baba zake,tuna heshima ya rika,ndugu ni weng ,hakuna upweke,vyakula asili,mazingira asili...pamoja na ubaya wetu hayo nayo ni mazur yetu.
 
Back
Top Bottom