Tofauti ya Mzungu na Mwafrika

Tofauti ya Mzungu na Mwafrika

sisi waafrika ni nuksi, unajua nini embu fikiria wangunduzi wote asilimia 99% ni wazungu. Kwanini wasiwe waafrika, waarabu, wahidi au watu wa bara la asia?
Tukubal tuu sisi ni....
 
Mzungu anafikiria miaka 100 mbele, wakati Mwafrika ni miaka 2 akizidi sana ni 5 mbele.

Motto yake ni ponda mali kufwa kwaja - kila mtoto anakuja na bahati yake duniani.
 
ac2cb47c4eee3f7722b0292a19ad8ea5.jpg


Nilikaa na mzungu mmoja ndani ya siku tatu
Nilichokigundua ni kwamba wazungu wamepewa uwezo mkubwa sana kufikiri na hawana ubaguzi kama wahindi na waarabu
Nilijaribu kumuuliza maswali mengi sana kuhusu teknolojia na kwa nn afrika tupo nyuma kimaendeleo japokua raslimali tunazo.
Kuna kitu kimoja kiliniumiza sana aliposema" AFRICANS ARE NOT COMPLITED MAN" na akaanza kufafanua kwa kutoa mifano

1.Mimi nilikua nakunywa maji ya kwenye chupa za plastick baada ya kuisha nikaitupa akaniambia huo ni uchafu unatakiwa uiweke kny dustbin irudishwe kiwandani.

2.Tunapoteza mda mwingi kwenye kuongea na kuchati badala ya kufanya kazi

3.Tunafurahia vitu vya kijinga mfano kupenda sana ngono na mambo ya umbea,yenye maana tunayachukia

4.Ni wavivu wa kufikiri tunatumia.
1℅[emoji767] tu nyingine hazitumiki kwani

5.Tuna wivu sana hatupendi mwenzetu aendelee ,hata kama mungu angetupa teknolojia tusingesaidia wengine kama marekani anavyotoa msaada wa madawa vyakula japokua malighafi zimeibwa afrika.

*@[HASHTAG]#Wenye[/HASHTAG] yakwao waongeze kwa nn waafrika tupo nyuma kimaendeleo ilihali raslimali tunazo za kutosha?*@[emoji34] [emoji34] #
Hahaha wazungu sio wabaguzi? Watu weusi walioko huko walizaliwa huko? Kabla ya utumwa kuna kitu ubaguzi ndo inaleta madhara yote!!.
 
ac2cb47c4eee3f7722b0292a19ad8ea5.jpg


Nilikaa na mzungu mmoja ndani ya siku tatu
Nilichokigundua ni kwamba wazungu wamepewa uwezo mkubwa sana kufikiri na hawana ubaguzi kama wahindi na waarabu
Nilijaribu kumuuliza maswali mengi sana kuhusu teknolojia na kwa nn afrika tupo nyuma kimaendeleo japokua raslimali tunazo.
Kuna kitu kimoja kiliniumiza sana aliposema" AFRICANS ARE NOT COMPLITED MAN" na akaanza kufafanua kwa kutoa mifano

1.Mimi nilikua nakunywa maji ya kwenye chupa za plastick baada ya kuisha nikaitupa akaniambia huo ni uchafu unatakiwa uiweke kny dustbin irudishwe kiwandani.

2.Tunapoteza mda mwingi kwenye kuongea na kuchati badala ya kufanya kazi

3.Tunafurahia vitu vya kijinga mfano kupenda sana ngono na mambo ya umbea,yenye maana tunayachukia

4.Ni wavivu wa kufikiri tunatumia.
1℅[emoji767] tu nyingine hazitumiki kwani

5.Tuna wivu sana hatupendi mwenzetu aendelee ,hata kama mungu angetupa teknolojia tusingesaidia wengine kama marekani anavyotoa msaada wa madawa vyakula japokua malighafi zimeibwa afrika.

*@[HASHTAG]#Wenye[/HASHTAG] yakwao waongeze kwa nn waafrika tupo nyuma kimaendeleo ilihali raslimali tunazo za kutosha?*@[emoji34] [emoji34] #
Acha uongo,hizo ni views zako mwenyewe
sema unaogopa kuzi present direct
 
Nilikaa na mzungu mmoja ndani ya siku tatu
..........
Kuna kitu kimoja kiliniumiza sana aliposema" AFRICANS ARE NOT COMPLITED MAN" na akaanza kufafanua kwa kutoa mifano
Ni mzungu wa wapi huyo anayeongea kiingereza kichafu namna hiyo? Tatizo lilianza pale wewe ulipoamini kila alichokuambia mzungu kiasi kwamba ukaumia. Kwanini unaamini kila unachoambiwa na mzungu?
 
Kuna watu wakiambiwa na mzungu kuwa hawana sehemu za siri basi wao haraka sana wataingiza mkono ndani ya chup! kuhakikisha alichosema mzungu. Ndio maana tunaibiwa sana kwenye raslimali zetu. Mzungu akisema smelter haiwezekani bongo tunaamin. Akisema amechimba almasi mwadui na hajapata faida tunaamin.
 
Ukienda Israel watoto wadogo wana mda wao wa kucheza... huwezi kwenda sehemu kama bank au kwenye ofisi yoyote ukamkuta mtu yupo buys na sim yaani hairuhusiwi kisheria mda wote watu wapo busy na mambo muhimu ya maendeleo....

Hapa kwetu watu wapo buys jf, whatsapp., inst., xvideo haya ma website huwezi kuyakutu humu nchini kwao... Yapo tu africa

Wazungu ni wajanja wametuletea masimu ya bei nafuu ili kila mmoja awe na uwezo wa kumiliki akakuwekea kila kitu kwenye hiyo sim ili mwafrica asiweze kufanya kazi wala kufikiri zaidi ya ku chat na kucheza game...

Mzungu ni Mungu.. na mwafrica yupo chini ya uangalizi wa mzungu mzungu atawaachia huru hadi tu hapo mtakapo kuwa na akili sawa.... Mzungu akiwaachia huru sasa hivi mtawauwa wazungu wote kwa roho zenu mbaya na kuitawala dunia..
 
Kama umekaa siku tatu na mzungu na ukafikia hilo hitimisho basi siku ukiolewa na mzungu utagundua kuwa wao ni miungu na sisi ni mashetani.
Teh...
 
ac2cb47c4eee3f7722b0292a19ad8ea5.jpg


Nilikaa na mzungu mmoja ndani ya siku tatu
Nilichokigundua ni kwamba wazungu wamepewa uwezo mkubwa sana kufikiri na hawana ubaguzi kama wahindi na waarabu

Nilijaribu kumuuliza maswali mengi sana kuhusu teknolojia na kwa nn afrika tupo nyuma kimaendeleo japokua raslimali tunazo.

Kuna kitu kimoja kiliniumiza sana aliposema" AFRICANS ARE NOT COMPLITED MAN" na akaanza kufafanua kwa kutoa mifano

1.Mimi nilikua nakunywa maji ya kwenye chupa za plastick baada ya kuisha nikaitupa akaniambia huo ni uchafu unatakiwa uiweke kny dustbin irudishwe kiwandani.

2.Tunapoteza mda mwingi kwenye kuongea na kuchati badala ya kufanya kazi

3.Tunafurahia vitu vya kijinga mfano kupenda sana ngono na mambo ya umbea,yenye maana tunayachukia

4.Ni wavivu wa kufikiri tunatumia.
1℅[emoji767] tu nyingine hazitumiki kwani

5.Tuna wivu sana hatupendi mwenzetu aendelee ,hata kama mungu angetupa teknolojia tusingesaidia wengine kama marekani anavyotoa msaada wa madawa vyakula japokua malighafi zimeibwa afrika.

Wenye ya kwao waongeze kwa nini waafrika tupo nyuma kimaendeleo ilihali raslimali tunazo za kutosha?@[emoji34] [emoji34]
Tuliwapa madini kwa bei chee, Leo tunasema wanatuibia!
 
Ni mzungu wa wapi huyo anayeongea kiingereza kichafu namna hiyo? Tatizo lilianza pale wewe ulipoamini kila alichokuambia mzungu kiasi kwamba ukaumia. Kwanini unaamini kila unachoambiwa na mzungu?
Ndio maana wanasema tukienzi kiswahili wengi ni watalaamu kwenye kizungu ndio maana wanapinga embu rekebidha iyo sentesi ikae vizuri
 
Tofauti ya mzungu na mwaflika ni kuwa

Mzungu anamfanya mjinga mpaka anafaulu vyema lakini Mwafrika anamkandamiza mwerevu mpaka ahahakishe anafeli na kuwa mjinga.

Na ndio maana watu werevu kama Tundu Lisu wanakandamizwa mpaka wahakikishe wamefeli.
Ndio ivo
 
Labda si unajua mi naongea broken nilimnukuu vibaya labda IWEKE VIZURI PLZ
 
WAZUNGU NI WATU SMART SANA KIUKWELI,HATA MIMI NAKUBALI AFU SIO WACHOYO KAMA WENZETU WA ASIA

Hiyo ni stereotype yako inayotokana na mindset ya kitumwa, wapo wazungu smart na wajinga pia wapo waafrika smart na wajinga Perfectz
 
ac2cb47c4eee3f7722b0292a19ad8ea5.jpg


Nilikaa na mzungu mmoja ndani ya siku tatu
Nilichokigundua ni kwamba wazungu wamepewa uwezo mkubwa sana kufikiri na hawana ubaguzi kama wahindi na waarabu

Nilijaribu kumuuliza maswali mengi sana kuhusu teknolojia na kwa nn afrika tupo nyuma kimaendeleo japokua raslimali tunazo.

Kuna kitu kimoja kiliniumiza sana aliposema" AFRICANS ARE NOT COMPLITED MAN" na akaanza kufafanua kwa kutoa mifano

1.Mimi nilikua nakunywa maji ya kwenye chupa za plastick baada ya kuisha nikaitupa akaniambia huo ni uchafu unatakiwa uiweke kny dustbin irudishwe kiwandani.

2.Tunapoteza mda mwingi kwenye kuongea na kuchati badala ya kufanya kazi

3.Tunafurahia vitu vya kijinga mfano kupenda sana ngono na mambo ya umbea,yenye maana tunayachukia

4.Ni wavivu wa kufikiri tunatumia.
1℅[emoji767] tu nyingine hazitumiki kwani

5.Tuna wivu sana hatupendi mwenzetu aendelee ,hata kama mungu angetupa teknolojia tusingesaidia wengine kama marekani anavyotoa msaada wa madawa vyakula japokua malighafi zimeibwa afrika.

Wenye ya kwao waongeze kwa nini waafrika tupo nyuma kimaendeleo ilihali raslimali tunazo za kutosha?@[emoji34] [emoji34]
Kwa kiingereza chako ni dhahiri huyo hakuwa mzungu ila tu umetuonyesha ulivyo na shida kwenye lugha ya malkia. But uzuri ni Message sent.
 
Back
Top Bottom