RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,039
- 137,780
Kulia hapana ila kiukweli baada ya muda fulani kuna ka regret fulani hivi,ishanitokea mara nyingi.Hii kwa ekpiliens yangu, mtu anakuzengua. Unamuacha. Unaona hajali, unaumia na kumove on. Halafu baadaeee anajileta