Hii kwa ekpiliens yangu, mtu anakuzengua. Unamuacha. Unaona hajali, unaumia na kumove on. Halafu baadaeee anajiletaNiambie hiyo after breakup ndo inakuwaje muda mfupi tu furaha inawarudia
lito brodah!!Hahahhaa, kweli kabisa hasa suala la kujiandaa l, mavazi na zaidi kushare kitanda, me huwa nalalia kwenye mbao
Ila wanajutia kuvunja mahusiano ya nyuma.hiyo ya after break up sijaikubali, wanaume wengi huwa hawaliagi ovyo, l
Naona utakuwa unalalia kingo za mbao na wewe.!
!
Najiona na familia yangu katika picha hizo.