Tofauti ya mjinga na mpumbavu

Tofauti ya mjinga na mpumbavu

john tough

Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
42
Reaction score
6
Jamani nawaombeni mnitofauti kati ya mjinga na mpumbavu... Maana sielewi lipi tusi au yoni ni matusi au sio matusi..tafadhalini wakuu
 
Nyerere alisema:
Ujinga==ugonjwa kwamba ugonjwa ukitibiwa unapona hivyo na mjinga akielimishwa ujinga wake humtoka NA..
Upumbavu== alisema ni kama kipaji hautoki (nadhani hili ndio tusi)
 
Mpumbavu ndo tusi. Anaelimishwa lakini bado anakuwa shingo ngumu!
 
Ninavyojua mjinga ni mtu ambaye hajui jambo fulani lakini akielimishwa analijua, mpumbavu ni mtu anayejua juu ya jambo fulani lakini anafanya kinyume na anavyolijua au anajifanya hajui juu ya jambo hilo.
 
Nawashukuru wakuu.. Maana kulikuwa kuna tatizo ktk kutofautishi kwa maelezo
 
Nyerere alisema:
Ujinga==ugonjwa kwamba ugonjwa ukitibiwa unapona hivyo na mjinga akielimishwa ujinga wake humtoka NA..
Upumbavu== alisema ni kama kipaji hautoki (nadhani hili ndio tusi)
Ignorant
Idiot
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom