Pia kuna Masters science na Masters za ArtHabarini , naomba kujua tofauti ya masters ambayo duration yake ni miezi 18 na ile ambayo ya miezi 24 especially kwa udsm.
Je duration ya semester inatofautiana?
Pia kama kuna utofauti wa mda wa kugraduate.
Kuna masters by Thethis na Masters by CourseworkPia kuna Masters science na Masters za Art