Tofauti ya masikini na tajiri katika ndoa

Kutokana na mawazo uliyoyatoa...mtoa mada inaonekana ni maskini na umaskini umekupanda kichwani hadi unajiona mnyonge hata katika mahusiano yako binafsi kwa kuwa una imani kubwa kuwa mapenzi bila ya pesa hayawezekani ila umetafuta weakness point ya ndoa za kitajiri ( sio halisia) ili uboost ujasiri wako.
Inaonekana fukara mwenzio aliolewa katika familia ya kitajiri na akakutana na madhaifu uliyoyatoa lakini kumbuka si ndoa zote za kitajiri zipo hivyo...

Ndoa haitegemei hali tu bila ya hulka na haiba ya wanandoa wenyewe hivyo, hali si kiini cha furaha ya ndoa yako.. SHTUKA...

Kubali hali yako kama ulivyo ila usiiendekeze kwa kuwa bado una nafasi ya kuiondoa na kumbuka watoto wa kitajiri hawana muda NA waswazi kwa kuwa wanajiona wana kila kitu wanachokihitaji ila waswazi huwazungumzia vibaya watoto wa kitajiri ili wajione wapo sawa au juu yao lakini wivu wa kuyakosa wanayoyatamani huwatafuna...usiwe hivi..
LIVE YOUR LIFE..
 
Ok tajiri nimekusoma
 
Eti atakusaidia Kuosha vyombo plsss...mwanaume yupi Africa anafanya hio kazi
Hivi mimi nashangaa kitu kimoja, kwani mwanaume kumsaidia mwanamke kazi za nyumbani kuna shida gani?mnasaidiana tu mbona hamna shida ila mwanamke lazima aelewe kumheshimu mwanaume wake that's all, watu wanachukulia mwanamke kama mtumwa i really don understand
 
Hakuna maskini wa kudumu chini ya mbingu.
 
Ok tajiri nimekusoma

Sikumaanisha kuwa Mimi ni tajiri ila nimeongelea hali halisi katika njia utakayoielewa zaidi...

Mimi ninaish maisha ya kawaida ila kupata nafasi ya kukaa NA watu wa hali tofauti katika makuzi yangu imenifanya kuyajua matabaka yote na tofauti zake...

Hutakiwi kuwa kama mtu yoyote ila wewe mwenyewe hivyo, kujilinganisha na watu wengine kila Mara ni dalili ya kukosa ujasiri , fahari na thamani katika maisha yako
 
Kutokana na mawazo uliyoyatoa...mtoa mada inaonekana ni maskini na umaskini umekupanda kichwani hadi unajiona mnyonge hata katika mahusiano yako binafsi kwa kuwa una imani kubwa kuwa mapenzi bila ya pesa hayawezekani ila umetafuta weakness point ya ndoa za kitajiri ( sio halisia) ili uboost ujasiri wako.
Inaonekana fukara mwenzio aliolewa katika familia ya kitajiri na akakutana na madhaifu uliyoyatoa lakini kumbuka si ndoa zote za kitajiri zipo hivyo...

Ndoa haitegemei hali tu bila ya hulka na haiba ya wanandoa wenyewe hivyo, hali si kiini cha furaha ya ndoa yako.. SHTUKA...

Kubali hali yako kama ulivyo ila usiiendekeze kwa kuwa bado una nafasi ya kuiondoa na kumbuka watoto wa kitajiri hawana muda NA waswazi kwa kuwa wanajiona wana kila kitu wanachokihitaji ila waswazi huwazungumzia vibaya watoto wa kitajiri ili wajione wapo sawa au juu yao lakini wivu wa kuyakosa wanayoyatamani huwatafuna...usiwe hivi..
LIVE YOUR LIFE..
Wewe km haukuwa na la kuchangia hapa ungepita hivii sio lazima uchangie we vp unaanza kuleta mada za kise***kama wewe tajir kaa na utajiri wako boyaa weww pita hiviiii tena mov ur ****
 
Hahahaaaaaaaa imekuuma sana kijana.pole ila Mimi huwa sikwepeshi ukweli ili nionekane mwema mbele yako...
Alafu muungwana akivuliwa nguo huchutama ila kwa kunitukana umekosa busara kabisaaaa...

Next time uje na matusi updated kama unajisikia kunitukana maana matusi kama haya nimeshakinai kuyasikia
 
Hivi mimi nashangaa kitu kimoja, kwani mwanaume kumsaidia mwanamke kazi za nyumbani kuna shida gani?mnasaidiana tu mbona hamna shida ila mwanamke lazima aelewe kumheshimu mwanaume wake that's all, watu wanachukulia mwanamke kama mtumwa i really don understand
Mwanamke kumsaidia mkewe is one of the sweetest things ila wanaume wangapi wanafanya hivo,na wanawake wangapi pia wanaweza msaidia mwanaume wake,mana kuna culture ya vitu kutokea upande mmoja tu
nadhani,given no exceptions,ni vema kila jinsia ikabaki na majukumu yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom