Habari za muda huu wanajamii,
Ninaomba ushauri katika jambo hili.
Nahitaji kufanya maombi ya chuo ngazi ya diploma, ila nina changamoto ya majina katika vyeti vyangu.
1. Cheti cha elimu ya sekondari kinasoma jina George G Rwezaula.
2. Cheti cha certificate kinasoma majina mawili George Gaspar
Naomba ushauri nini chakufanya ili niwezekukubaliwa kusoma diploma?