Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,439
😀😀😀😀Hiyo ni juu yako na mwanao wala haimhusu Mtemi. Wewe na Toto lako endeleeni na mambo yenu mwacheni Mtemi wetu atuburudishe.
😀😀😀😀Hiyo ni juu yako na mwanao wala haimhusu Mtemi. Wewe na Toto lako endeleeni na mambo yenu mwacheni Mtemi wetu atuburudishe.
Umenena mwalimuTofauti ya MAANDAMANO na MATEMBEZI.
Maandamano; ni kupigania jambo ambalo limekosa Suluhu kila eneo na hivyo nguvu ya ziada inatumika kupata Suluhu.(VURUGU)
Matembezi; ni kupigania jambo fulani kwa kudai haki ya kutaka Suluhu kwa makubaliano ya amani.(MAKUBALIANO)
Deogratius Nalimi Kisandu
ASUBUHI News.