Tofauti ya lugha kwenye bar baina ya zama zile na zama hizi

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Lugha maarufu enzi zileeee.....;

1. Lete Tulivyokaa

2. Muongeze 5 huyo

3. Mbona bia haziendi?

4. Usiulize, wee Ongeza tu

5. Mbona jikoni hawatusikilizi??

6. Aah,tunahudumiwa na dume?

7. Nimesema Mbuzi mzima!!

8. Wee hizi ni kilo 5 kweli?

9. Kuna watu wanabusu bia!

10. Hamishia opener hapa hapa?

Zama hizi sasaaa.....
1. Waruke wote, sijaja nao mimi

2. Mmh, kaongeza nyingine?

3. Bia zenu bei mbaya zaidi ya jirani yenu?

4. dada, uliza kwanza hata kabla ya kuleta toothpiki

5. Tumekula majumbani kwetu

6. Nitanunulia kaunta mwenyewe

7. Mna kongoro?

8. Lete supu tu bila finyango kwani shingap?

9. Siku hizi inashauriwa bia 2 tu kwa afya

10. Hebu toa mavituvitu yenu hapa yanatuzingua

11. Nilitee bili ya bia nilizokuagiza mimi nyingine sizijui...

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ•ΊπŸΌπŸ•ΊπŸΌπŸ•ΊπŸΌ
 
Ndo ukome kudananda, nnua zako
 
Sijaja bar kumnulilia mtu soda hapa...mpe idadi ya soda kulingana na bei ya bia kwa kila round bwege huyu
 
Tunapambana na hali zetu.
 
Waiter mpe MK254 Bia 6 atalipa mwenyewe.
 
Leo sinywi nina natumia dawa
 
12. Leta jipaba tupo wengi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…