msela kuntu
Senior Member
- Jun 28, 2019
- 116
- 183
Samahani hivi naweza kujua tofauti ya JKT na jku na mishaara yao kwa mwenye uzoefu
Kifupi hakuna tofauti yoyote, ni kitu kile kile isipokuwa katika muungano, kuna majeshi na vyombo vya ulinzi ambavyo kisheria ni vya muungano na kuna majeshi na vyombo vya ulinzi ambavyo siyo vya muungano.Samahani hivi naweza kujua tofauti ya JKT na jku na mishaara yao kwa mwenye uzoefu