mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,270
- 9,163
Hii mitusi sijui anawafundisha nani hapo nyuma si Chadema wala CCM walikuwa na lugha chafu kama hii Team Edo,halafu hujifanya wao ndio wenye uchungu sana na Chadema /Ukawa,wakati hawajamaliza hata kusoma mihutasari ya vikao.Napita tu jaman wachangiaji wa mitusi nimewaacha hapo nyuma wanajiandaa kuja kumwaga mitusi....