waliochaguliwa au wanaosoma tumaini dar UKISOMA TUMAINI HATA UWE NA FIRSTCLASS UPATI AJIRA
Kaka yangu amesoma pale tumaini LLB na ameshapata ajira,je research yako umeifanya lini? acha kudanganya umma alafu unakaa ukibweteka kwa kusema uongo,kama mtu anamaliza form six na kupata ajira sembuse alimaliza chuo!
N.B.KUNA WALIOSOMA CAIRO UNIVERSITY LAKINI WANAWAZIDI WALIOSOMA HAVARD UNIVERSITY KWA MAFANIKIO KAZINI
ur ryt Msafiri! Serikalin hakuna longolongo,vyuo binafs wapo kbiashara ndo mana udahl mkubwa sana..! Pesa mbele...
Ila mbona sioni mambo kama aya kwenye mitandao ya kijamii ya nchi zingine isipokua tanzania tu,vp unaonaje tukijadili mfumo unaotumika kutoa elimu isiyokidhi mahitaji ya kijamii?kaa ukijua kua great thinker hawalinganishi ubora kitu kilicholetwa na sistim ambayo si bora.Ebu jaibu kutoa ushauri kwa sekta usika kuhusu nini kifanyike kwani vyuo binafsi na vya serikali vyote havitoi elimu inayoridhisha hapa nchi
waliochaguliwa au wanaosoma tumaini dar UKISOMA TUMAINI HATA UWE NA FIRSTCLASS UPATI AJIRA
Hivi watu wanasoma ili wapate AJIRA? au wanasoma ili waongeze maarifa ambayo yataweza kuwasaidia katika kupambana na changomoto mbalimbali za maisha ya kila siku?
Jodoki Kalimilo kwa bongo tunasoma ili tupate ajira alafu changamoto zitapambana na salary
UNIVERSITIES IN TANZANIA BY 2012 university web ranking
1.UDSM
2.HKMU
3.SUA
4.MUHAS
5.MMU
6.ST. AUG
7.MZUMBE
8.UDOM
9.IMTU
10.ST.JOHN
11.UA
12.ARDHI
13.THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR
14.TUMAINI
15.TEKU
16.ZANZIBAR UNIVERSITY
17.MUM
nakubali hapo mkuuHilo halina ubishi ndio maana unakuta mtu akiajiriwa anapiga mwaka hivi ndio ana gain momentum baada ya kuzoea mazingira na kama ukikuta vichwa maji waliotangulia mtu anaweza akapiga kazi hata miaka 2 ndio anakua safi
mbona kcmc na vyuo vingine cvioni hapo kwenye rank?
UNIVERSITIES IN TANZANIA BY 2012 university web ranking
1.UDSM
2.HKMU
3.SUA
4.MUHAS
5.MMU
6.ST. AUG
7.MZUMBE
8.UDOM
9.IMTU
10.ST.JOHN
11.UA
12.ARDHI
13.THE STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR
14.TUMAINI
15.TEKU
16.ZANZIBAR UNIVERSITY
17.MUM
aliyetoa hii rank alikua kalewa,st.john ikazidi aru?st augustne ikazidi mzumbe?
Chuo kinachukua iii.,iii.i5,iii.16 na iii. 17 mabongolala ,uwezo mdogo ,rushwa kwa malecturer wapate gpa kubwa ,