Tofauti ya Chuo, Collage na Institute

Tofauti ya Chuo, Collage na Institute

Kwa hiyo CBE ni chuo kikuu au chuo Cha kati?

Kw kutumia muktadha wako wa level?
Mkuu nimejitahidi kukuelimisha nilitegemea iwe kama wake up call kwako urudi kwenye Tafiti zako wewe unataka tubishane haya mambo unaweza kuachana nayo au ukajifunza zaidi uje na Maelekezo yaliyonyooka
 
Shukrani mkuu
Nitaendeleza utafiti, kwamba inawezekana vipi mtu akakamilisha degree bila kufanya research?
Degree ya kwanza vyuo vingi tu wanagraduate bila Research yoyote mfano mzuri hapo UDSM programmes nyingi hawafanyi research yoyote
 
Mkuu nimejitahidi kukuelimisha nilitegemea iwe kama wake up call kwako urudi kwenye Tafiti zako wewe unataka tubishane haya mambo unaweza kuachana nayo au ukajifunza zaidi uje na Maelekezo yaliyonyooka
Hayaja eleweka na hayaeleweki
 
Degree ya kwanza vyuo vingi tu wanagraduate bila Research yoyote mfano mzuri hapo UDSM programmes nyingi hawafanyi research yoyote
Sasa hii inaiondoaje CBE kuwa sio chuo Cha kati, ikiwa vyote hawafanyi research bali project?
 
Uwezo wako mdogo sana kama Na KCMC University ni chuo cha kati basi Tuishie tu hapa
Uwezo mdogo kwa mtu kusema zamani lilikuwa chuo Cha kati ila sio Sasa?

Bila kuonyesha vigezo vipi vilivyopungua au kuongezeka.

Zipi hasa ni sifa za chuo kikuu, higher learning institution na College?

Unataka udemote tu, kwa hisia na bla bla zisizo na mashiko.
 
COLLAGE - Sanaa ya kuchanganya picha/vipande mbalimbali kuzifanya kuwa kitu/picha moja.
 
Uwezo mdogo kwa mtu kusema zamani lilikuwa chuo Cha kati ila sio Sasa?

Bila kuonyesha vigezo vipi vilivyopungua au kuongezeka.

Zipi hasa ni sifa za chuo kikuu, higher learning institution na College?

Unataka udemote tu, kwa hisia na bla bla zisizo na mashiko.
Hayo ya Zamani yanatoka wapi afu kumbuka nilichallenge orodha yako na sio kwamba zilikuwa Opinions zangu

Sasa iko hivi Hapa Tanzania kuna Vyuo vikuu ambavyo humo ndani kuna Vyuo vikuu kamili, na Vyuo vikuu vishiriki na hivi kwa kwa mujibu wa TCU viko 50 tu nchi nzima na vyote hivyo ni vyuo vikuu
Mfano
DUCE
MuCE
CUHAS
UDSM
St francis
Stella Marris
AMUCTA
UDSM
RUCU
SUA
SUZA
MWECAU

Hivi vyote ni Vyuo Vikuu na viko chini ya TCU/Tume ya Vyuo vikuu

NA kuna Taasisi za elimu ya Juu HLIs
NIT
CBE
IFM
ISW
DIT
MIPANGO
TIA Etc. HAwa wako regulated under NACTVET na hizi taasisi/ wengi tunaita tu vyuo maana kiswahili hakijitoshelezi misamiati vizuri huwa viko chini ya Wizara kama Fedha na Mipango, Sijui Maendeleo ya Jamii etc
Na mara nyingi vimefocus katika kutoa elimu ya aina moja tu utakuta kama ni Uchumi/Biashara/Fedha, Technlojia/ubunifu, Ustawi/maendeleo ya jamii au madini na utakuwa wanakuwa na Certificate hadi Degree!!
Hawa mfumk wao wa elimj pia wanaanza level 4 hadi 8 ikiwa na maana ni Degree

Vyuo vya KATi hakuna chuo cha kati kinachotoa Degree akuna kabisa wao ni Certificate/Diploma na level 4 hadi 6! Na hawa pia wako chini ya NACTVET
Ndio akina Lugalo, Kibaha, KAM, Nkinga, Butimba, Kreluu etc

NOte CBE kuwa ni college of Business haimaanishi ni chuo cha kati ile ni taasisi tu ya elimu ya Juu (labda kama miaka ya nyuma ilikuwa chuo cha kati) ila kwa sasa hiyo ni HLI

Kama na hapa hatutaelewana basi mkuu itabidi mjadala uishie hapa na tukubaliane kutoelewana
 
Hayo na niliyo yaeleza Mimi yanapingana wapi?

Mitazamo tu ndio Ina tofauti ana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukiuliza tofauti ya higher learning institution na College.
Wanasema ya kwamba college inahusika na masomo ya undergraduate degree halafu higher learning zenyewe zinakwenda mbali zaidi.

Tofauti ya higher learning institution na university ni ukubwa wa majengo, udahili, kozi nyingi na mbalimbali na baadhi research.

Ndio maana MIST kilibaki kuitwa hivyo mpaka kilipoongeza kozi mbali mbali mpaka uandishi wa habari ndio kikaitwa MUST.

Kila la kheri
 
Back
Top Bottom