Tofauti ya Chuo, Collage na Institute

Tofauti ya Chuo, Collage na Institute

Mr Pixel3a

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2021
Posts
6,976
Reaction score
10,366
Tanzania ina vyuo vikuu vichache mfano Udsm, Must , SAUT, KAMPALA, UDOM n. K
College ziko ndani ya chuo mfano udsm ina CONAS ,CoECIT , COET,Vyuo vinaweza kuwa na campas udsm ina campus ya DUCE, MuchAS

Institute sio vyuo vikuu DIT, IFM, CBE hivi ni vitivo vinahusika na fani za aina Moja pekee mfano uhandisi au uchumi.
Huwezi kusema college ya CoECIT ni chuo kikuu.
Huwezi kusema TIA ni chuo kikuu.
DUCE sio chuo kikuu bali ni college.
 
Vyuo vikuu Tanzania
MUHAS
UDSM
UDOM
KAMPALA
MUST
MUCO
MWENGE
SUA
MMU
ROBERT KAIRUKI
MOUNT MERU UNIVERSITY
STELLA MARISA
ARDHI
OPEN
TEOFILA KISANJI
ST JOSEPH
TUMAINI
UNIVERSITY OF ARUSHA
MZUMBE
SAUTI
MWANZA
RUCO
MUM
BAGAMOYO

Tunajua vinakuwa na college mbali mbali.
Tunajua vinakuwa na idadi kubwa ya research na wanafunzi.
Lakini lengo la elimu ya juu ni lile lile na sifa za kujiunga ni zile zile, zote zinasimamiwa na TCU kuanzia elimu ya shahada.

Taasisi za elimu ya juu Tanzania
Hawa focus Yao ni aina moja ya taaluma na zinazofanana na hizo.

TIA
IFM
NELSON MANDELA
IIA
ITA(Institute of tax administration)
NIT
DMI

Institute of social work
Institute of directors
Institute of project management

Vyuo vya kati (Colleges)
CBE
KCMCo
DUCE
MWUCE
MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY
MWEKA
DUCE
National Defence College
Tanzania Military Academy(TMA)
Dar es Salaam Police Academy(DPA)
Tanzania Regional Immigration Training Academy(TRITA)

Kama unaona hizo nyingine elimu zamu Kuna walakini kumbuka MIT(Massachusetts Institute of Technology) na ubora wake
 
KAMANDA jitahidi kujiridhisha upya na hii record yako na Majina ya Hivyo vyuo kuna vyuo bado unatumia majina ambayo bado yado ni vyuo vikuu vishiriki wakati sahivi ni Full Fledged University uliponichanganya zaidi hiyo Stella Maris ni University afu DUCE ukasema ni Colleges sijui vyuo vya kati jielimishe mkuu

Kosoa nilipo kosea Mkuu, list ndefu hiyo nitashukuru
 
DUCE ni University College sio Collage ya chuo cha kati. Ni Chuo kikuu kishiriki. Pia Stella Maris Mtwara na Marian Bagamoyo sio full fledge university ni constituents collage ya St. Augustine Mwanza.

KCMC nayo mwaka huu imekuwa full fledge university kutoka Tumaini Makumira.
 
Vyuo vikuu Tanzania
MUHAS
UDSM
UDOM
KAMPALA
MUST
MUCO
MWENGE
SUA
MMU
ROBERT KAIRUKI
MOUNT MERU UNIVERSITY
STELLA MARISA
ARDHI
OPEN
TEOFILA KISANJI
ST JOSEPH
TUMAINI
UNIVERSITY OF ARUSHA
MZUMBE
SAUTI
MWANZA
RUCO
MUM
BAGAMOYO

Tunajua vinakuwa na college mbali mbali.
Tunajua vinakuwa na idadi kubwa ya research na wanafunzi.
Lakini lengo la elimu ya juu ni lile lile na sifa za kujiunga ni zile zile, zote zinasimamiwa na TCU kuanzia elimu ya shahada.

Taasisi za elimu ya juu Tanzania
Hawa focus Yao ni aina moja ya taaluma na zinazofanana na hizo.

TIA
IFM
NELSON MANDELA
IIA
ITA(Institute of tax administration)
NIT
DMI

Institute of social work
Institute of directors
Institute of project management

Vyuo vya kati (Colleges)
CBE
KCMCo
DUCE
MWUCE
MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY
MWEKA
DUCE
National Defence College
Tanzania Military Academy(TMA)
Dar es Salaam Police Academy(DPA)
Tanzania Regional Immigration Training Academy(TRITA)

Kama unaona hizo nyingine elimu zamu Kuna walakini kumbuka MIT(Massachusetts Institute of Technology) na ubora wake
Nelson Mandela ni Institute ila TCU wanai term kama University sio non University ila nadhani ni bora wangeifanya iwe University hata kwa jina iitwe Nelson Mandela Africa University of Science and Technology kama ilivyo Kwame Nkuruma University of Science and Technology in Ghana.
 
Kosoa nilipo kosea Mkuu, list ndefu hiyo nitashukuru
Kusoma tu nilichoamdika hapo juu tayari ni ukosoaji
Stella Maris ni Constituent College ya SAUT the same as DUCE na MUCE kwa UDSM kwann umeziweka list toafut hivy9 ni vyuo vikuu vishiriki

Hiyo Bagamoyo University hivi bado ipo kweli!??

Ni RUCU sio RUCO(Zamani iliitwa hivyo) sahv ni Chuo Kamili

KCMCO sahv ni University Kamili imeanza kama mwaka huu mwanzoni kama sijakosea na inatambulika kama KCMC university wamejiondoa toka kwa Tumain Makumira University kama chuo Mama

Sio SAUTI ni SAUT mbona vitu vidogo vinakupiga Chenga mkuu wangu nawewe ni msomi kabisa

Hayo mavyuo ya Jeshi ungeachana nayo japo mengi yana Ithibati za NACTVET na partnernship na baadhi ya University/Institute mfano hiyo TMA wako na AIi kwenye kutoa Degree za Millitary sciences

Pia kwenye vyuo vya kati kuna ukakasi kidogo maana Vyuo vya kati karibia vyote na vinavyojulikana vimebase kwenye kutoa Mafunzo ya Level kuanzia 4 hadi 6 na ithibati yao ni NACTIVET na huishia Diploma tu kuviita KCMC, DUCE na MuCE ni vyuo vya kati wakati hata ithibati zao ni za TCU mzee ungetafuta jina lingine hapo

Yaan mtu anasoma MMED surgery KCMC na aliesoma Nkinga Institute of health sciences wote ni Vyuo vya KATI!!
 
Kwa hiyo CBE ni chuo kikuu au chuo Cha kati?

Kw kutumia muktadha wako wa level?
 
Vyuo vikuu Tanzania
MUHAS
UDSM
UDOM
KAMPALA
MUST
MUCO
MWENGE
SUA
MMU
ROBERT KAIRUKI
MOUNT MERU UNIVERSITY
STELLA MARISA
ARDHI
OPEN
TEOFILA KISANJI
ST JOSEPH
TUMAINI
UNIVERSITY OF ARUSHA
MZUMBE
SAUTI
MWANZA
RUCO
MUM
BAGAMOYO

Tunajua vinakuwa na college mbali mbali.
Tunajua vinakuwa na idadi kubwa ya research na wanafunzi.
Lakini lengo la elimu ya juu ni lile lile na sifa za kujiunga ni zile zile, zote zinasimamiwa na TCU kuanzia elimu ya shahada.

Taasisi za elimu ya juu Tanzania
Hawa focus Yao ni aina moja ya taaluma na zinazofanana na hizo.

TIA
IFM
NELSON MANDELA
IIA
ITA(Institute of tax administration)
NIT
DMI

Institute of social work
Institute of directors
Institute of project management

Vyuo vya kati (Colleges)
CBE
KCMCo
DUCE
MWUCE
MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY
MWEKA
DUCE
National Defence College
Tanzania Military Academy(TMA)
Dar es Salaam Police Academy(DPA)
Tanzania Regional Immigration Training Academy(TRITA)

Kama unaona hizo nyingine elimu zamu Kuna walakini kumbuka MIT(Massachusetts Institute of Technology) na ubora wake
Hapo kwenye CBE sidhan Kam ina hadhi ya kuwa chuo Cha kati mkuu
 
Tanzania ina vyuo vikuu vichache mfano Udsm, Must , SAUT, KAMPALA, UDOM n. K
College ziko ndani ya chuo mfano udsm ina CONAS ,CoECIT , COET,Vyuo vinaweza kuwa na campas udsm ina campus ya DUCE, MuchAS

Institute sio vyuo vikuu DIT, IFM, CBE hivi ni vitivo vinahusika na fani za aina Moja pekee mfano uhandisi au uchumi.
Huwezi kusema college ya CoECIT ni chuo kikuu.
Huwezi kusema TIA ni chuo kikuu.
DUCE sio chuo kikuu bali ni college.
nimepata kitu mkuu
 
Hapo kwenye CBE sidhan Kam ina hadhi ya kuwa chuo Cha kati mkuu
Ina hadhi ya nini? mbona hutoi majobu. CBE ni non University institution, sio University hata kama inatoa degree.
Kile sio chuo kikuu.
 
Sawa mkuu tunakiitaje?
Ni chuo Cha kati?
Taasisi ya elimu?

Wakati tunajibu tukumbuke kinaitwa college of business education (CBE)
 
Tunakiita chuo tuu, sio chuo cha kati wala sio chuo kikuu.

Kilikuwa chuo cha kati zamani ila kimekua kinaweza kutoa degree ila bado hakina hadhi ya chuo kikuu (University) ndio maana hata degree zake sio research oriented like BSc or BA
 
Shukrani mkuu
Nitaendeleza utafiti, kwamba inawezekana vipi mtu akakamilisha degree bila kufanya research?
 
Wapo wasiofanya research wanafanya project. Na hata kama wanafanya research haina mkazo kivile.

Wewe utalinganisha mkazo wa research kwa mfano master kwa vyuo vikuu kama UDSM, OUT, SUA na chuo kama CBE.

University ni universal, worldwide recognised.
 
Back
Top Bottom