Tofauti ya CCM na CHADEMA ni mavazi tu

Tofauti ya CCM na CHADEMA ni mavazi tu

MTOTO KITAA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
245
Reaction score
116
Leo nilikuwa nafikilia tofauti ya CHADEMA na CCM kiukweli mi sijaiona.

Chukua taswira hii, vigogo wa CCM wanaficha mabilion ulaya, vigogo wa CHADEMA wanajenga mahekaru urabuni, vigogo wa CCM wanasomesha watoto wao nje na kama bongo basi ni international school huku vigogo wa CHADEMA ( Mbowe) anasomesha mtoto wake internation school.

Vigogo wa CCM hawataki kuachia madaraka na viongozi wa CHADEMA wamechakachua katiba ili wasitoke madarakan.

CCM wanaingiza watoto wao madarakani huku CHADEMA wanagawana viti maalum kwa undugu.
 
Chadema wamezidi hasa mbowe ndiyo kawa balaa kaficha pesa huko nje na kujenga majumba mengi tu.
 
Haa haa, nyingine ni hii, wabunge wote wa ccm na chadema wote wanapokea posho ya vikao (sitting allowance). Pia vyama vyote vina mipango lakini haitekelezwi, mfano chadema wana mpango wa kujenga chuo cha uongozi pale kibaha, lakini mpaka sasa ni porojo, chadema wana mpango wa kujenga ofisi yao makao makuu mpaka sasa ni hadithi, wana mpango wa kuwa na media yao, lakini bado ni ndoto ya alinacha. Pia ccm wana ajenda ya kukomesha rushwa lakini bado wanahamasishana kupokea na kutoa rushwa, ni porojo. Ccm wana mpango wa kuanzisha miradi ya chama na kuiboresha, lakini mpaka leo ni hadithi, ccm wana ajenda ya kujivua gamba, lakini mpaka leo limekwamia kiunoni, ni porojo! Ccm waliwahaidi watanzania maisha bora kwa kila mtanzania, lakini ni kinyume chake! Mtoa mada nakuunga mköno kwa hilo.
 
...Nashukuru nililifahamu hili mapema,CCM na CHADEMA tofauti yao ni majina tu,na nasharia Chadema wanaizidi ata CCM kwa uwizi na ufisadi,wanazidiwa tu kiwango cha kufisadi kwa sasa kwa kuwa tu hawana access na hazina kubwa...

...Unaweza kukadiria tu ingekuwa vip kama Mbowe ndio angekuwa Waziri Mkuu wakati wa tebda za Gesi?Mzee wa Richmund ni cha mtoto kwa huyu...
 
Wabunge wa chadema wanauza madawa ya Kulevya kama vile Mbowe pale billicanas na hajawahi kukana hilo na hata kulizungumzia tu.
Idd Azan wa ccm nae anahusika.
Chadema viongozi wake na mapesa wameficha ulaya na kununua mavogue kama vile zito, hawa wa CCM wanapenda kutumia VX V8 na mabilioni ya nje wanayaita vijisenti.
Chadema wamakula pesa za ruzuku na slaa kujilipa per diem kwa safari za marekani bila tija huku chama hata jengo la kusingiziwa hakuna.
CCM Kuna wakati inafadhiliwa na mafisadi, Chadema inafadhiliwa na mwizi wa siku nyingi na mkwepa kodi Sabodo.
Chadema ni hivyo kuliko matapishi.
 
Isingekuwepo CDM leo hii watanzania tungekuwa vipi? ukipata jibu ndo tofauti ya chadema na ccm.
 
leo nilikuwa nafikilia tofaut ya chadem na ccm kiukweli mi sijaiyona. Chukua taswira hii, vigogo wa ccm wanaficha mabilion ulaya, vigogo wa chadema wanajenga mahekaru urabuni, vigogo wa ccm wanasomesha watoto wao nje na kama bongo bas ni international school huku vigogo wa chadema( mbowe) anasomesha mtoto wake internation school. Vigogo wa ccm hawataki kuachia madarak na viongoz wa chadem wamechakachua katiba ili wasitoke madarakan. Ccm wanaingiz watoto wao madarakan huku chadema wanagawan vit maal kwa undugu.nyengine ongeza wewe....
play your part kuilimesha jamii yako ili kuepuka ubabaishaji wa chadema tuijenge nchi yetu kwa kupambana na mafisadi ndani ya ccm kuliko kuongeza matatizo zaidi.
 
Wenye kuangalia mambo kwa jicho la tatu,wameishalitambua hilo zamani!
 
Ukitaka kuwa Mtanzania huru usiwe miongoni mwao ni vikundi vyenye ubinafsi wa hali ya juu sana!Wamefanya issue ya idadi ya serikali kwamba ni agenda kuu ya wananchi wakati si kweli! Sisi wananchi tunataka huduma bora under cost effective structure which can not be delivered in greater than one government!
 
...Nashukuru nililifahamu hili mapema,CCM na CHADEMA tofauti yao ni majina tu,na nasharia Chadema wanaizidi ata CCM kwa uwizi na ufisadi,wanazidiwa tu kiwango cha kufisadi kwa sasa kwa kuwa tu hawana access na hazina kubwa...

...Unaweza kukadiria tu ingekuwa vip kama Mbowe ndio angekuwa Waziri Mkuu wakati wa tebda za Gesi?Mzee wa Richmund ni cha mtoto kwa huyu...
ccm kwa ufisadi hakuna mfano!
 
Back
Top Bottom