Tofauti ya CCM na CHADEMA ni mavazi tu

Tofauti ya CCM na CHADEMA ni mavazi tu

play your part kuilimesha jamii yako ili kuepuka ubabaishaji wa chadema tuijenge nchi yetu kwa kupambana na mafisadi ndani ya ccm kuliko kuongeza matatizo zaidi.
matatizo yako kote, sio ccm wala chadema! Ni afadhali kupambana kivyako kuliko kutegemea hivo vyama!
 
ulita aache kaz ya kutetea na kufanya kaz za kuwakomboa milions of tzs ahangaike kukujbu mbulula. atajib wangap? kilasiku humu chadema tu. hakuna oppoing parties vingne. Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe bhna.!
 
leo nilikuwa nafikilia tofauti ya chadema na ccm kiukweli mi sijaiona.

Chukua taswira hii, vigogo wa ccm wanaficha mabilion ulaya, vigogo wa chadema wanajenga mahekaru urabuni, vigogo wa ccm wanasomesha watoto wao nje na kama bongo basi ni international school huku vigogo wa chadema ( mbowe) anasomesha mtoto wake internation school.

Vigogo wa ccm hawataki kuachia madaraka na viongozi wa chadema wamechakachua katiba ili wasitoke madarakan.

Ccm wanaingiza watoto wao madarakani huku chadema wanagawana viti maalum kwa undugu.

mjomba , ukiandika kama hivi , posho yako inakuwa bei gani ?
 
UTOFAUTI WA CCM NA CHADEMA
1.CCM Kilianzishwa Baada ya Muungano wa ASP na TANU mwaka 1977.ASP ni Chama Kilichopigania Uhuru na Ukombozi wa Tanzania Visiwani (Zanzibar).TANU ni Chama Kilichopigania Uhuru na Ukombozi wa Tanzania Bara. Baba ni Kama Mtoto,Hivyo CCM pia ni Chama Kinachopigania Ukombozi wa Kiuchumi,Kisiasa na Kiutamaduni wa Watanzania Wote

CHADEMA Kilianzishwa na Edwin Mtei kwa Mara ya Kwanza 1988 Kama SACCOS Ya Familia ya Mtei na Kuchangia Harusi na Misiba ya Wachaga na Baadae Kikasajiliwa Kama Chama cha Siasa Mwaka 1993 Baba ni Kama Mtoto,ndio Maana Unaona Chadema Inapigania Ukombozi wa Kiuchumi wa Wachaga na Watu wa Kaskazini


2. CCM Ilianzishwa Lumumba,Mtaa wa Wanaharakati na Wapigania Uhuru wa Tanzania

CHADEMA Ilianzishwa MOSHI ‘Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo’, Pesa kwanza Chama Badae.Ndio Maana Viongozi wake ni Wapiga PESA(Mtei + Mbowe + Mke wake)


3.Waasisi wa CCM Wote Sasa Wametangulia Mbele ya Haki,Kufanya CCM Kiwe Mali ya Umma Maana Hakina Mwenyewe Bali ni Mali ya Wanachama Wote
CHADEMA ni Mali Halali ya Edwin Mtei,Yupo Hai, Hivyo Yeye ndio Anaetoa Kauli ya Mwisho,Haipingwi na Atakaejalibu Kuipinga Atakabiliwa na Shituma za USALITI na UHAINI wa Chama


4.CCM ni Chama Chenye Democrasia ya Kweli,Hakuna Ving’ang’anizi wa Madaraka,Utaratibu wa Uchaguzi Upo wazi na Kila Mtu ana Haki ya Kugombea nafasi yoyote,

Chadema ni Chama cha MAHAFIDHINA,Viongozi wao ni Ving’ang’anizi wa Madaraka,Nafasi ya Uenyekiti Ina Wenyewe(Wachaga),Nafasi zote Nyeti Kama Vile Ukurugenzi, ni Mali ya watu wa Kaskazini,Democrasia Haipo Tena Kama Mvua Jangwa la SAHARA,Ukitaka Uenyekiti kwa Njia Halali Utaambiwa wewe ni MHAINI,MSALITI wa Chama

5.CCM ina Jali Wanachama,Wanapo Kosea Wanaonywa na Kushauriwa,Uhuru wa Kuhoji na Kutoa Maoni ni wa Hali ya Juu.

Chadema Haijali Wanachama,Ukihoji Mapato na Matumizi ya Chama,Unaitwa ni Muhaini, Unafukuzwa na Kufutiwa Uanachama

6.Kama Unataka na Una Ndoto za Kuwa Kiongozi Bora,Makini,Mwenye Discipline ya Uongozi,Kiongozi Anae Jali Maslahi ya Wapiga Kura,Asie MUHAFIDHINA,Asie Mbibafsi,Asie King’ang’anizi wa Madaraka,Anae Shauriwa na Kusikia,Anae Wajibika kwa Wakati,Asie Endekeza UBAGUZI wa UKANDA,UDINI wala UKABILA Jiunge na CCM Leo

Ila, Kama Unataka Kuwa Mpiga Kelele,Wazee wa Maandamano,Muhafidhina, King’ang’anizi wa Madaraka, Mvunjifu wa Amani na Kinara wa Migomo, Mlalamikaji, Mzee wa MAJUNGU na FITINA Basi Jiunge au Endelea Kuishabikia Chadema.
 
Back
Top Bottom