Tofauti ya Budget na Finance Bill

dkn

Senior Member
Oct 7, 2010
139
42
Wanajamvi nimeuliza hili swali bila kupata majibu natumaini kuna watu wenye idea zaidi kuhusu hili. Baada ya budget kupitishwa TRA walibadilisha baadhi ya kodi kwa kusema kuanzia 1st July Finance Bill 2012 itatumika kwa kodi mbalimbali, ikiwamo income tax, magari used kupandishwa kodi n.k., leo nasikia kuwa Finance Bill inajadiliwa, TRA wametumia sheria ipi wakati sheria haijapitishwa bali kilichopitishwa ni budget.
 
Kuna legal instrument ambayo inaipa serikali na institutions zake nguvu ya kukusanya kodi hata kama finance bill haijapitishwa
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Itafute sheria inaitwa "The Provisional Collection of Taxes and Duties Act": Parliament of Tanzania

Nafahamu kuna revised version ya sheria hii (Cap 153) lakini kimsingi hazina tofauti.
 
nini kinafuta sasa kwa wananchi ambao walilipa kodi ya magari kodi ya uchakavu ya 20% kwa miaka zaidi ya nane na leo inarekebishwa kuwa miaka 10 zaidi ya hiyo ndiyo uchakavu unatozwa?.
 
Back
Top Bottom