Ni muhimu ikafahamika wazi kwamba,Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.
Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.
Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.
Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.
CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa
Wanatumia unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao bila utii, (unafiki), a. K.a kujizima data, tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, (uchawa). Uchumi wetu mbovu unakolezwa pia na viongozi wetu wa kitaifa wanapo tengeneza ushirika na nchi zingine kwa masilahi binafsi kwa kiasi kidogo tu hugusa maendeleo ya nchi ama kuondoa umasikini wa wananchiBotswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.
Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.
Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.
Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.
CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa
Mkuu ni sawa sana ullivyoeleza. Uwajibikaji wa serikali ya BDP ni mkubwa sana.Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.
Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.
Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.
Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.
CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa
Kiuchumi kati ya Tanzania na Botswana nani yupo juu?Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.
Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.
Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.
Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.
CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa
Botswana wako juu sanaKiuchumi kati ya Tanzania na Botswana nani yupo juu?
Ccm nacho ni chama au genge?Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.
Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.
Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.
Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.
CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa
HahahaMkuu unafananisha siasa za chama tawala cha watu wasomi waliostaarabika wa Botswana na chama cha makanjanja na matapeli cha CCM!!
Ndio Maana Nchi yao kila mtu anatamani kuishi kule.Mkuu ni sawa sana ullivyoeleza. Uwajibikaji wa serikali ya BDP ni mkubwa sana.
LAKINI itakuwa vyema zaidi ukielezea pia "janja" ya kimfumo inayotumika kuihakikishia BDP madaraka enzi zote tangu uhuru bila kuruhusu hata angalau interval moja ya chama kingine kushika madaraka (ili upimaji uwe makini zaidi).
Si rahisi kuamini kuwa wananchi wa Botswana hawajataka kuonja mabadiliko ya uongozi tangu 1966. Si hulka ya binadamu hiyo.
Umeandika ngonjera ya ajabu kabisa,kwamba Tanzania ina huduma bora kabiaa za kijamii? Ina usawa kisiasa? Yaani kwamba ukimpinga samia hutekwi wala huuliwi tena? Kwamba kura haziporwi tena? Na wakubwa kama fatuma kigondo wakituma watu wakabake na kulawiti wanachukuliwa hatua stahiki kama mimi tu? Nq akina Mafwele wanaweza kusimamishwa mahakamani kujibu tuhuma zao za utekaji na mauaji waliyoyafanya bila upendeleo? Basi hiyo ni tanzania mpya, siyo ile tunayoijua.Ni muhimu ikafahamika wazi kwamba,
mataifa mengi yanayofanya vizuri kisiasa , kijamii na kiuchumi, Africa Mashariki na Africa Kwa ujumla yamejifunza Tanzania.
ni muhimu zaidi wakaendelea kujifunza zaidi kwenye eneo la ulinzi, usalama na amani, maeneo ambayo bado ni changamoto sana katika maeneo yao.
Tanzania kupitia Chama Cha ha Mapinduzi CCM, itaendelea kua kisiwa cha amani Africa na duniani kote, huku ikiendelea kudumisha umoja, amani, utulivu na utangamano wa wananchi wake kwa kuimarisha utoaji wa huduma bora za kijamii, mazingira bora na ya usawa kisiasa lakini pia, mazingira bora zaidi ya kibishara, uwekezaji, kilimo, ufugaji n.k kua bora zaidi na kuchochea uchumi wa kila mTanzania 🐒
CCM must go!Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande mwingine CCM kimeshindwa kutokomeza utamaduni wa rushwa, umasikini wa kutupa na ubinafsi mkubwa kwa viongozi wetu.
Utamaduni na kinafiki na kufuria kimasikini na uchawa badala ya maendeleo ya watu.
Hivyo tatizo sio kuongoza muda mrefu bali kuleta maendeleo.
Hakuna sababu ya msingi Kenya kutuzidi kiuchumi! Sisi uzalishaji mdogo na rushwa nyingi.
CCM jifunzeni badala ya kutuletea uchawa
usiwe na muhemko gentleman, just relax..Umeandika ngonjera ya ajabu kabisa,kwamba Tanzania ina huduma bora kabiaa za kijamii? Ina usawa kisiasa? Yaani kwamba ukimpinga samia hutekwi wala huuliwi tena? Kwamba kura haziporwi tena? Na wakubwa kama fatuma kigondo wakituma watu wakabake na kulawiti wanachukuliwa hatua stahiki kama mimi tu? Nq akina Mafwele wanaweza kusimamishwa mahakamani kujibu tuhuma zao za utekaji na mauaji waliyoyafanya bila upendeleo? Basi hiyo ni tanzania mpya, siyo ile tunayoijua.
Labda kujifunza kuiba Kura.yamejifunza Tanzania
Ni muhimu ikafahamika wazi kwamba,
mataifa mengi yanayofanya vizuri kisiasa , kijamii na kiuchumi, Africa Mashariki na Africa Kwa ujumla yamejifunza Tanzania.
ni muhimu zaidi wakaendelea kujifunza zaidi kwenye eneo la ulinzi, usalama na amani, maeneo ambayo bado ni changamoto sana katika maeneo yao.
Tanzania kupitia Chama Cha ha Mapinduzi CCM, itaendelea kua kisiwa cha amani Africa na duniani kote, huku ikiendelea kudumisha umoja, amani, utulivu na utangamano wa wananchi wake kwa kuimarisha utoaji wa huduma bora za kijamii, mazingira bora na ya usawa kisiasa lakini pia, mazingira bora zaidi ya kibishara, uwekezaji, kilimo, ufugaji n.k kua bora zaidi na kuchochea uchumi wa kila mTanzania 🐒
Kwa Africa Norminal GDP Tanzania ni ya kumi (10) kwa US Bilion79. 867 Dollars wakati Botswana ni ya 27 kwa Afrika kwa GDP ya 19.699 US Bilion Dollars. Kwanini wao wapo juu kuliko Tanzania?Botswana wako juu sana