Una msala gani hem nipe kwanza huo ubuyu ndo .ntafuta kauli
Hahaha siamesema uedit??
Kweli kaka
Yupo...yupo sana tu
Khaaaa mimi tena?????
Kwani zile taarifa nilimpa mimi??
niamini mimi yupo kweli
Kama ni namba mimi labda namba 10, kuna weeeeengi nawajua
Siku ile alipewa maneno meeeeeengi yakumuumiza.
No mi siwataji....
Nimekwambia yupo hajapotea, kuna ishu anamalizia leo na kesho tu
Yah nimeongea nae..
sista sio mimi
sawa kwani wewe ndio macho yangu ??
rangi nyingine mpaka nizione ndio nazikumbuka
Kasema anakupenda sana