Tofauti nyingine ni kuwa Jide aliandaa onyesho mwenyewe na fedha zote anakunja yeye wakati MwanaFatuma aliandaliwa na Waliberali na anasubiria wampe kamisheni tu. Kimapato na kiuchumi MwanaFatuma kafunikwa Mbayaaaaaa
hivi mbona ukumbi ni kama wa lecture theatre chuoni?hapo washabiki watachezaje?au wanaangalia tuu kama sinema?
Ni kwa sababu show iliandaliwa na Blauzi FMHalafu mbona mkorogo ulitembea sana kwenye ukumbi wa MwanaFatuma. Si wanawake, si wanaume wote wamejichubua ukiangalia picha. At first nilidhani ni promotion ya Caro Light kumbe ni tamasha la muziki. Au kuwa the finest lazima ujichubue?
Source ni Picha za Bongo5
nyumbani lanchi walikuwepo makapuku,wavuta bangi,wazururaji,waropokaji ambao huwa wanapenda kuwasingiza wenzao kuwa wanasababisha umaskini walionao wakati kwa msomi mwanaFA walikuwepo wenye akili zao,pesa zao na wanaojua burudani ni nini so wamelilax wanaburudika.sura za pesa zinaonekana.