Tofauti kubwa ya Julius Mtatiro na CUF

Tofauti kubwa ya Julius Mtatiro na CUF

KALEM B

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
51
Reaction score
25
Katika muendelezo wangu wa uchambuzi wa Siasa nimekua nikimfatilia sana ndugu Julius Mtatiro naibu katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF kwa upande wa Tanzania bara,lengo la ufatiliaji wangu ilikua ni kuendelea kubaini wanasiasa wa kweli na mawakala wa CCM (Shibuda's).

Aidha ufatiliwaji huu ulikua umesimamia mambo ya msingi manne,msimamo wake,ukweli wake,mahusiano na vyama vingine vya upinzani,malengo yake.

NILICHOKIGUNDUA
1.Mtatiro ni mwanasiasa wa kweli na anamalengo ya kweli
2.Kunawakati anakasirishwa na CUF kwa kujenga uadui usio wa maana kwa CHADEMA
3.anafanya siasa na sio mambo ya udini kama CUF
4.anakubaliana na hoja za CHADEMA kila wakati
5.ndani ya CUF,ndugu zetu CCM wanachanganyikiwa na Mtatiro tu.
 
Ni sawa kabisa Mtatiro ni kama Zitto....hawa bila shaka ni mapacha wanafaa kuungwa mkono 100% na wanafaa kuanzisha chama chao na si hivi vyama vya udini na ukabila. watu wa aina hii ndiyo wanaweza kuidondosha ccm na siyo hao makanjanja anageuza vyama vyao kama NGO'S
 
Naona umekuja kuharibu thread ya KALEM B
Manake baadhi ya wanazi wa CDM wakisikia mtu anamsifia Zitto basi wanajenga bifu naye. Subiri waje utawaona.
 
Last edited by a moderator:
Naona umekuja kuharibu thread ya KALEM B
Manake baadhi ya wanazi wa CDM wakisikia mtu anamsifia Zitto basi wanajenga bifu naye. Subiri waje utawaona.

huo ni mtizamo wako Zitto ni binadamu kama wengine ana udhaifu wake na uhodari wake anapokosea anakosolewa kama wengine..
Na angewasikiliza watu kama nyie angeshatimka CDM kitambo lakini amekuwa mjanja.
 
Last edited by a moderator:
Naona umekuja kuharibu thread ya KALEM B Manake baadhi ya wanazi wa CDM wakisikia mtu anamsifia Zitto basi wanajenga bifu naye. Subiri waje utawaona.

Zitto ni kiongozi na kwa haika ktk wabunge wote wa Chadema Zitto anauwezo mkubwa sana labda analingana na katibu na prof. naakika angezaliwa kaskazini wangejidai sana. Huoni wanampiga vita lakini wanashindwa kumchomoa uwanachama.
 
Last edited by a moderator:
huo ni mtizamo wako Zitto ni binadamu kama wengine ana udhaifu wake na uhodari wake anapokosea anakosolewa kama wengine..
Na angewasikiliza watu kama nyie angeshatimka CDM kitambo lakini amekuwa mjanja.

Like n big up...!
 
Pamoja na u CHADEMA wangu ninafurahishwa sana na siasa za Julius Mtatiro. Ni kijana mdogo mwenye maono ya mbali sana. Kama CUF wote wangeweza kufanya siasa anazofanya mtatiro, kingekuwa ni chama imara sana cha upinzani. Lakini kwa hivi kilivyo hivi sasa kinaonekana kabisa kuwa ni dadake na CCM. Na Mtatiro anajitahidi sana kuiondoa hii dhana ya CUF kuonekana ni ndugu na CCM, lakini hapati support kutoka mamlaka za juu za chama.

Hii ni changamoto kubwa pia kwa Mtatiro katika utendaji kazi wake. Huwa nafurahishwa sana na namna anavyopenda kusimamia ukweli bila kujali ni kutoka chama gani cha upinzani.

Mara kadhaa ameunga mkono mawazo ya CHADEMA na hata ya NCCR mageuzi. Hana siasa kama za Mbatia. Katika watu wanaoendesha siasa za hovyo, Mbatia ni mmojawapo, na ni adui mkubwa wa upinzani Tanzania.
 
Zitto ni kiongozi na kwa haika ktk wabunge wote wa Chadema Zitto anauwezo mkubwa sana labda analingana na katibu na prof. naakika angezaliwa kaskazini wangejidai sana. Huoni wanampiga vita lakini wanashindwa kumchomoa uwanachama.

Between the lines you are lacking something.. Mayb wisdom or Thinking capability
 
Kwa mtazamo wangu he dont deserve to be there at all
CDM inam fit sana
 
Ni sawa kabisa Mtatiro ni kama Zitto....hawa bila shaka ni mapacha wanafaa kuungwa mkono 100% na wanafaa kuanzisha chama chao na si hivi vyama vya udini na ukabila. watu wa aina hii ndiyo wanaweza kuidondosha ccm na siyo hao makanjanja anageuza vyama vyao kama NGO'S
kweli kabisa si unaona jinsi CCM wanavyoasisi udini na ukabila nchini, . Yaani ni kuwakataa kama ukoma!!
 
WanaJF kwa bahati nzuri nimemfahamu Julius Mtatiro toka nikiwa Udsm akiendesha harakati mpaka alipoingia TAHLISO.Ni huyu Mtatiro aliyeongoza Maandamano na Mgomo mkubwa Udsm wakati bodi ya Mikopo inaundwa na kuanza kuleta mafomu yao ya kucopy na kupaste kutoka nje hapa Tz,Mgomo huu ulifanikiwa kuleta mabadiliko ya baadhi ya Vipengele vilivyokuwa vinamkandamiza Mlalahoi baadae nilimuacha akiwa Kiongozi Mkubwa wa Daruso,Katika siasa nimemfuatilia anajua anachokifanya na anajua lengo la Chama chochote ni kushika dola hivyo mda mwingi anamjua adui yake kuwa ni CCM aliyeshika dola ni nadra sana kumsikia Mtatiro akipambana na vyama vya Upinzani kama wafanyavyo wenzake,ila kinachonishangaza ni Mtatiro kuwepo katika chama kama CUF ambacho Mwenyekiti wake amepoteza dira na sasa anatumia mbinu zote kujiokoa bila mafanikio,Sijajua Mtatiro yuko CUF kimaslahi tu anaelewa halihalisi anasubiri right time au hili Jembe kweli limepotea njia linahitaji Msaada.Kama yuko huku aniPM pls nina Mengi ya kumwambia.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kwel mtatilo ni jembe lililopotea, hakutakiwa kuwa kule kulingana na hoja zake za msingi, alinifurahisha sana siku ya kongamano la iman alivyomshambulia bregadia wa jeshi, akitetea hoja ya dr. Slaa ya jeshi kubaka watu, mtatilo aliungana na slaa kukutetea hoja kitu ambacho ni kigum kwa wabunge wa cuf kuungana na chadema juu ya hoja fulan, hongela sn mtatilo karibu kwa makamanda wenzako cdm ili tutetee taifa lililopotezwa na magamba.
 
Kwahiyo Umeona CDU ni Chama cha kuwekewa mfano? ( SI Unit)? Au lengo lako ni kukisifia tu CHADEMA hata kama hakina hizo sifa?
 
jinsi anavyoongea anafanana na m/kiti wake. kimsingi nisiende mbali sana, birds of the same flock fly together na samaki mmoja akioza wote wananuka. no more sentiment
 
Ni sawa kabisa Mtatiro ni kama Zitto....hawa bila shaka ni mapacha wanafaa kuungwa mkono 100% na wanafaa kuanzisha chama chao na si hivi vyama vya udini na ukabila. watu wa aina hii ndiyo wanaweza kuidondosha ccm na siyo hao makanjanja anageuza vyama vyao kama NGO'S

Umeongea fact ndugu,na bila hvo CCM haitotoka ng'o labda kwa uchawi.
 
Zitto ni kiongozi na kwa haika ktk wabunge wote wa Chadema Zitto anauwezo mkubwa sana labda analingana na katibu na prof. naakika angezaliwa kaskazini wangejidai sana. Huoni wanampiga vita lakini wanashindwa kumchomoa uwanachama.

Hayo Yamekutoka tu,au umeyatafakari kabla hujaandika?
 
Back
Top Bottom