Tofauti kati ya watzee na wazungu..

Tofauti kati ya watzee na wazungu..

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,950
*TOFAUTI KATI YA WATANZANIA NA WAZUNGU WANAPOTUMA POST ZA KUOMBA USHAURI FACEBOOK*

*AMERICAN POST:*
Hello, my name is Sandra Stone, I am from New York, I love my husband so much and I can do anything to please him... But recently I am falling for his cousin, what should I do?

*_AMERICAN COMMENTS:_*
*James Silva:* I think u need to talk to your husband because marriage is all about communication.

*Sarah Water:* Oh my dear, sorry abt that.. Have been in your shoes before, I had to wake
up and face the fact that I am married.

*Michael Paper:* well just remove your mind
from him and make your husband do the things
you like in his cousin..

*TANZANIAN POST:*
Mambo zenu, naitwa Brenda Thomas, nimeolewa na nina watoto wawili, nampenda mume wangu sana ila hapa juzi kuna binamu yake amekuja na nimetokea kumpenda kimapenzi, naombeni ushauri nifanyeje?
(Watakatifu na wenye mapovu mtoke kama huna la kushauri kaa pembeni)

*_TANZANIAN COMMENTS:_*
*Dubo:* naskia hainaga ushemeji tunakulagaaaaaa

*Zuwena Abdala:* mpe bwana weee kwani sh ngapi, si yako?

*Stella John:* may thunder fire you and cut you into small pieces

*Kenneth Phillip:* na mimi nataka, naomba

*Shiko John:* unamuaibisha mumeo tu, mwanamke huna haya

*Swalleh:* nani ana charger ya pini ndogo?

*Alice Mbiti:* ongeza makalio, maziwa na weupe, watsapp me for more information

*Baraka Salim:* nimekuja na povu na omo sasa nikupe na boxer zangu ufue?

*Mbilinyi John:* how does that affect the price of sugar in the market?

*Mungumbukege:* Yesu rudi babaaa rudii

*HD:* Katarina njoo msaidie mwenzako huku....

*Abby Msafi:* Kama mambo yenyewe ndo haya Tanzania ya Viwanda tutaisikia kwenye bombaaaa.........

_Shikamoo Tanzanians
 
samahani mkuu
hivi wewe ni freemason?
Hapana, Freemason yupo karibu na wanaoamini Mungu kuliko mimi nisiyeamini Mungu.

Ili kuwa Freemason, sharti moja la msingi kabisa ni kuamini Mungu. Usipoamini Mungu huwezikuwa Freemason.

Mtu asiyeamini Mungu wa aina yoyote hawezi kuwa Freemason, hivyo mimi siwezi kuwa Freemason, kwa sababu sifikii sharti la msingi kabisa la kuwa Freemason.

Watu wanaoamini Mungu, Wakristo, Waislamu etc, wanaweza kuwa Freemasons, kwa sababu wanafikia sharti hili la msingi la kuwa Freemason.

Hivyo basi, mimi niko mbali kabisa na Freemasons ukilinganisha na wanaoamini kuwepo kwa Mungu.

Wao wapo karibu zaidi na Freemasons.

Hii ni elimundogo tu kuhusu Freemasons nakupa leo.
 
sijakuelewa naona kama umeongea vice versa
nachojua mie wengi wasioamini Mungu ni freemason
 
sijakuelewa naona kama umeongea vice versa
nachojua mie wengi wasioamini Mungu ni freemason
Tatizo hujafanya research. Soma, usiende kwa kufikiri tu.

Huwezi kuruhusiwa kuwa Freemason kama huamini uwepo wa Mungu.

Mtu anaweza kuwa karibu na ukweli akisema wanaoamini Mungu wote wapo karibu na Freemasons kuliko wasioamini kuwepo Mungu.

Kwa sababu, ili kuwa Freemason, ni lazima uamini kuwepo Mungu.

Freemason ni chombo kilichoundwa kuunganisha dini zote za dunia zinazoamini kuwepo kwa Mungu ziwe chombo kimoja.

Hivyo ukiwa Muislamu, wanakukubali maana unaamini Mungu Allah. Ukiwa Mkristo, wanakukubali maana unaamini Jehovah.

Ukisema "mimi siamini kuwepo kwa Mungu yeyote", wanakwambia wewe hatuwezi kukukubali, maana huamini kuwepo kwa Mungu yeyote.

Tatizo watu wanakwenda kwa kukisia kisia na kuotea otea kuliko kwa fact na research.
 
Ila jaman Tuna vituko kwa kweli.Sasa huyo aliesema chaji ya pin ndogo anataka kutuua kwa vicheko au ni nn jaman yan amejitoa ufahamu kabisa
 
Tatizo hujafanya research. Soma, usiende kwa kufikiri tu.

Huwezi kuruhusiwa kuwa Freemason kama huamini uwepo wa Mungu.

Mtu anaweza kuwa karibu na ukweli akisema wanaoamini Mungu wote wapo karibu na Freemasons kuliko wasioamini kuwepo Mungu.

Kwa sababu, ili kuwa Freemason, ni lazima uamini kuwepo Mungu.

Freemason ni chombo kilichoundwa kuunganisha dini zote za dunia zinazoamini kuwepo kwa Mungu ziwe chombo kimoja.

Hivyo ukiwa Muislamu, wanakukubali maana unaamini Mungu Allah. Ukiwa Mkristo, wanakukubali maana unaamini Jehovah.

Ukisema "mimi siamini kuwepo kwa Mungu yeyote", wanakwambia wewe hatuwezi kukukubali, maana huamini kuwepo kwa Mungu yeyote.

Tatizo watu wanakwenda kwa kukisia kisia na kuotea otea kuliko kwa fact na research.
nisaidie freemason ni nini hasa?huwa wana ofisi zao?sehemu zao za ibada?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom