kwanza kuna kozi zifuatazo;
1)Bsc in Electronic Science and Communication-Udsm.
2)Bsc in Telecommunication Engineering-Udsm/udom.
3)B.E in Electronic Engineering and Communication -Saint Joseph.
4)B.E in Electronics and Telecommunication Engineering-DIT.
kiujumla kozi namba 1 ndiyo iko tofauti kwa kiwango fulani na hizo zingine ila hizo zingine kiujumla wake hizo sawa..utofauti ni "Course Content" tu..ila kwa Industry ya Bongo ilivyo mwisho wa siku wote mnafanya kazi moja tu.hiyo usitishike au kujiona mbabe kwa kuwa unasoma kozi fulani kati ya hizo.