Tofauti kati ya uhandisi wa telecommunication na hule wa electrons and communication ni nini??

HAMY-D

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
7,149
3,817
Wadau wa jamii hii naomba nipate msaada kuhusu tofauti ya hayo yaliyopo kwenye kichwa cha habari hapo juu maana kwa sisi ambao hatujasoma inakuwa vigumu kujua kwa usahihi tofauti yao......
 
Hebu andika vizuri swali lako kuna bsc ya telecom engineering na bsc science without engineering. So sio wote wahandisi hapo
 
kaka umekariri mpaka uone engineering au???maana niko sahihi kabisa zote ni engineering au we unaijua ipi???
 
kaka umekariri mpaka uone engineering au???maana niko sahihi kabisa zote ni engineering au we unaijua ipi???
<br />
<br />
dogo upo sawa hiyo Bsc in communication and electrons inatolewa pale st joseph college Of engineering ina tofauti na tele ya udsm, mlimani utacheza sana na mambo ya tele-com only but wale wa st joseph utadeal na electrons na communication in general.
 
kwanza kuna kozi zifuatazo;
1)Bsc in Electronic Science and Communication-Udsm.
2)Bsc in Telecommunication Engineering-Udsm/udom.
3)B.E in Electronic Engineering and Communication -Saint Joseph.
4)B.E in Electronics and Telecommunication Engineering-DIT.
kiujumla kozi namba 1 ndiyo iko tofauti kwa kiwango fulani na hizo zingine ila hizo zingine kiujumla wake hizo sawa..utofauti ni "Course Content" tu..ila kwa Industry ya Bongo ilivyo mwisho wa siku wote mnafanya kazi moja tu.hiyo usitishike au kujiona mbabe kwa kuwa unasoma kozi fulani kati ya hizo.
 
Tele anadili na mawasiliano ya taarifa through long distance,while hawa electronics hapo wanadili na zile complex Electronic application!!!!
 
kaka umekariri mpaka uone engineering au???maana niko sahihi kabisa zote ni engineering au we unaijua ipi???
<br />
<br /
Dogo kuna BE, BSC in Engineering na BSC sasa swali lako linahtj justification ili tujue zote za UDSM or St John or DIT ili tukueleze tofauti yake
 
hivi jamani
Mtu akigraduate pale st.joseph anaweza
Kupata scholarship nchi za nje kama uingereza au marekani?
 
kwanza kuna kozi zifuatazo;
1)Bsc in Electronic Science and Communication-Udsm.
2)Bsc in Telecommunication Engineering-Udsm/udom.
3)B.E in Electronic Engineering and Communication -Saint Joseph.
4)B.E in Electronics and Telecommunication Engineering-DIT.
kiujumla kozi namba 1 ndiyo iko tofauti kwa kiwango fulani na hizo zingine ila hizo zingine kiujumla wake hizo sawa..utofauti ni "Course Content" tu..ila kwa Industry ya Bongo ilivyo mwisho wa siku wote mnafanya kazi moja tu.hiyo usitishike au kujiona mbabe kwa kuwa unasoma kozi fulani kati ya hizo.

hivi jamani
Mtu akigraduate pale st.joseph anaweza
Kupata scholarship nchi za nje kama uingereza au marekani?
 
hivi jamani
Mtu akigraduate pale st.joseph anaweza
Kupata scholarship nchi za nje kama uingereza au marekani?

kwenye izo nchi ulizosema cna uhakika nazo sana kwani cna vivid example ila kuna m2 amegradute pale amepata scholarship ya kusoma masters China(now yupo mwaka wa pili China)
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom