Tofauti kati ya PSI na Horse Power (HP)

Tofauti kati ya PSI na Horse Power (HP)

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,646
Reaction score
9,623
Ipi ni tofauti ya PSI na HorsePower (HP) nimetafuta mashine ya kuoshea magari (Pressure washer) nikakuta kuna ambazo uwezo wake upo kwenye SI unit ya PSI 2,000 3,000 5,000 n. k

Kuna nyingine uwezo wake upo kwa horse power kama 6.5, 7.5 n. k
Naomba kujuzwa HP 1 ni sawa na PSI ngapi?
 
Tofauti
psi ni kipimo cha presha ya kusukuma maji.(kwa case yako)
Hp ni rating ya motor inayotumika ku pump hayo maji, kwa hiyo rating ya motor huendana na presha ya msukumo wa maji.
 
Tofauti
psi ni kipimo cha presha ya kusukuma maji.(kwa case yako)
Hp ni rating ya motor inayotumika ku pump hayo maji, kwa hiyo rating ya motor huendana na presha ya msukumo wa maji.
shukran mkuu
 
PSI ni unit ya pressure na horse power ni unit ya power.
Kwa lugha rahisi kabisa PSI ni maji yanatoka kwa kasi /nguvu gani pale kwny gun na HP inaonesha nguvu gani machine inayo .
HP Kubwa maana yake umeme mwngi inatumia na namba Kubwa ya PSI maana yake pressure Kubwa ya maji
 
Back
Top Bottom