deejaywillzz
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 637
- 224
Huyo unayebishana nae ana akili gani?? Hivi kweli hili nalo ni la kubishana?
Nahisi kama unaweza kudadafua zaidi ya hapa mkuuSio sahihi kusema IT ipo ndani ya computer science ni fields mbili tofauti, na anayejua moja haina maana anaijua nyingine.
Ila technology zinazotumika kwenye IT nyingi zimetokana na CS lakini pia kwenye IT kuna hardware na vitu ambavyo sio computer science kama support, policy, procedures etc.
computer science refers to the processes of creating usable computer programs and applications and the theories behind those processes. An employee in this industry will likely be doing a lot of independent work applying complex algorithms and writing code.
IT professionals deal with the application of computer programs to solve business processes. Information technology has become an essential piece of every business planfrom large, multinational corporations to small, family-owned businesses.
Nilikuwa na mwelezea mtu kwamba IT ni kama a topic in computer science, nikimaanisha IT iko ndani ya Computer science hatuku pata suluhusho sababu alikataa. Naomba nitoeni matongo tongo kama nimekosea
so unataka aminisha watu kuwa mtu alosoma IT haweza tengeneza usable application programs? kazi yake ni kutumia tu ama? computer science haina tofauti sana na IT ila computer Engneering ndo inatofauti sana na IT keep that in mind... nina degree ya IT na chuo nilichosoma walikua wanafundisha computer science pia ni module chache sana tumepishana
Nahisi kama unaweza kudadafua zaidi ya hapa mkuu
Jamiix usishangae sana sababu nilichohadithia kwenye thread ndio kinachotokea hapa kwenye discussion kama umefuatilia kwa makini.Una Masters kweli? na anaekubishia ana Advance Dip, na mkabishana kabisa, ningekuwepo karibu ningewatia vibao wote
Inaonyesha CS na IT kila mmoja anavutia kwake. Nasubiri kumpata mchambuzi huru ili nami nielimike zaidi.