Rich dad poor dad na The millionaire next door ni vitabu vinavyodadavua kwa upana kuhusu mada hiyo, ukweli ni kwamba watu wengi wanafikiri kuwa katika mfumo unaowapa pesa nyingi kiasi cha kununua vitu vya thamani ni utajiri
Wengi wetu tunapenda kununua vitu vinavyo onyesha characteristics of utajiri lakini kusema ukweli hatuna utajiri,
Tajiri hawezi kustrudlggle vitu vidogo kama vile garama ya kuendesha ofisi, mahitaji ya familia eg ada za shule, garama za sherehe kqma ndoa, kununua vitu vya thamani kama gari, nyumba kukosa uwezo wa kusaidia ndugu jamaa au ndugu, kuanzisha project kwa lengo la kusaidia jamiii au kukiburudisha, kupata muda wa kupumzika na kuwa na uhusiano mzuri na jamii