Tofauti kati ya Engine Zenye 1290cc na 1490cc -IST

Tofauti kati ya Engine Zenye 1290cc na 1490cc -IST

MUTAKANGWA

Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
37
Reaction score
2
Habari za leo wadau

Swali langu kwenu ni kutaka kujua tofauti iliyopo kati ya engine za IST zenye 1290cc na 1490cc.

Nini hasa kinachotofautisha aina hizi za injin? Je ni katika matumizi ya mafuta tu ama kuna vitu vingine vya ziada.

Naomba msaada wenu tafdhari

Natanguliza shukrani
 
Zinatofautiana nguvu pia. Hiyo ya engine kubwa inachanganya mapema na pulling zaidi.
 
Capacity of the Engine huwa the way zinavyozidi kuwa kubwa ndivyo the way inazidi kuwa na Revolution per min kubwa maana yake mzunguko wa Engine kwa dakika unakuwa mkubwa,na vilevile matumizi yake ya mafuta pia huongezeka
 
Je vp katika matumizi ya mafuta Utofauti wake ukoje

Yenye cc kubwa inakula mafuta kuliko ile ya cc ndogo.Cylinder capacity in cubic centimeter ni ujazo wa mafuta katika visilinda vilivyoko ndani ya engine na siyo lazima engine uone kwa macho kuwa kubwa, bali ni humo ndani hivyo vishimo vinaujazo gani wa kupokea mafuta na kuyachoma( combustion)! Kadri inavyokuwa kubwa na mafuta hula mengi na nguvu ya engine huwa kubwa zaidi!
 
Capacity of the Engine huwa the way zinavyozidi kuwa kubwa ndivyo the way inazidi kuwa na Revolution per min kubwa maana yake mzunguko wa Engine kwa dakika unakuwa mkubwa,na vilevile matumizi yake ya mafuta pia huongezeka

Hiyo ya kuwa na rpm kubwa umechapia! Engine size ni proportional to the TORQUE generared! Big engine, more pulling power.

rpm inaweza kuongezwa au kupunguzwa kwa kutumia gear at the expense of torque! Mfano una engine yenye 2000rpm unaweza kuongeza rpm ikafika 4000rpm kwa kutumia gear ambayo idadi ya meno yake ni nusu ya idadi ya meno ya gear iliyofungwa kwenye output shaft. Hii ina maana kuwa ile ya output ikizunguka maramoja, hii nyingine itakuwa imekamilisha mizunguko miwili.
 
Kwa muonekano hazina tofauti ila zinatofautiana katika performance tu,yenye 1.5L ina pulling kubwa kuliko 1.3L.
 
Capacity of the Engine huwa the way zinavyozidi kuwa kubwa ndivyo the way inazidi kuwa na Revolution per min kubwa maana yake mzunguko wa Engine kwa dakika unakuwa mkubwa,na vilevile matumizi yake ya mafuta pia huongezeka
thats not the real answer ...jua kwamba engine inavokuwa kuwa kwenye chombo kile kile ndipo uwezo wa ku maintain spid flan kwa mizunguko michache ya engine unaongezeka mfano....gari ya kawaida mfano premio 1500cc gia ya mwisho rpm ikiwa 3000 basi spid ya gari ni 127 hivo uwezi kuta gari la cc 659 lina weza kuwa spidi hiyo kwa mizunguko hiyo lazma liwe kwanzia 3500+ rpm kwenda mbele
 
Back
Top Bottom