Tofauti kati ya dissertation na thesis

gracious86

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
437
54
dearest wadau, hivi eti kuna tofauti gani kati ya dissertation na thesis? Au zote sawa? I did my research pepa last yr ya chuo kikuu,sasa nashndwa niiweke kwenye category ya dissertation au thesis.. Plz help.....
 
Kama umewewza kufanya research ya university, sidhani kama utashindwa kutafuta nini tofauti ya hizo. Bahati nzui siku hizi kuna internet unaweza ku google ukapata jibu lake in minutes.
 
Normally, in undergraduate degree programs, depending on the respective program curriculum, a final year project is called "Final project dissertation". For postgraduate degrees (MSc/MA etc. and PhDs) the term Dissertation and Thesis are interchangeably used. For example it is called a Dissertation for MSc in......, or Doctoral Thesis/Dissertation. However, a research paper can not in any way be called a Dissertation nor a Thesis. You will probably call it "Final Research Paper". How was it called in your program curriculum?
 
Inachanganya sana...do what the curriculum tells you to do!

If you are doing your Master's from a British university then, will have to write a dissertation.
If you are doing your PhD from a British university, you will have to write a thesis.
If you are doing your Master's from an American university, you will have to write a thesis.
If you are doing your Ph.D. from an American university, you will have to write a dissertation.

Hata hivyo, mimi nakumbuka 'research' work niliyofanya undergraduate kwa mujibu wa curriculum ya chuo nilichosoma ilikuwa inaitwa 'dessertation'.
 
Normally, in undergraduate degree programs, depending on the respective program curriculum, a final year project is called "Final project dissertation". For postgraduate degrees (MSc/MA etc. and PhDs) the term Dissertation and Thesis are interchangeably used. For example it is called a Dissertation for MSc in......, or Doctoral Thesis/Dissertation. However, a research paper can not in any way be called a Dissertation nor a Thesis. You will probably call it "Final Research Paper". How was it called in your program curriculum?

thanx ngereja! Nimekupata sawia! Mine was just a final research pepa of 87 pgs! Under social sciences program! Asante sana mkuu
 
Normally, in undergraduate degree programs, depending on the respective program curriculum, a final year project is called "Final project dissertation". For postgraduate degrees (MSc/MA etc. and PhDs) the term Dissertation and Thesis are interchangeably used. For example it is called a Dissertation for MSc in......, or Doctoral Thesis/Dissertation. However, a research paper can not in any way be called a Dissertation nor a Thesis. You will probably call it "Final Research Paper". How was it called in your program curriculum?

Mkuu naomba nami nitoe maoni yangu juu ya tofauti zilizopo kati ya maneno hayo. Kwa namna yanavotumika unaweza ukadhani kwamba, yote ni sawa. Lakini kwa kile ambacho academic Institutions nyingi zinakifuata ni kwamba Thesis ni andiko la kitaaluma katika fani fulani kwa hatua ya shahada ya uzamili au uzamivu ambalo halihusishi course work. Na kumbe kwa dissertation ina maana programme hiyo mwanafunzi anafanya kwanza course work na ndipo kama sehemu ya kukamilisha ataandika tasnifu ambayo huitwa dessertation. Vyuo vikuu vingi duniani hutoa Shahada ya uzamili na uzamivu kwa mtindo wa thesis au course work with dissertation. Vyuo vingi Ujerumani, Netherlands, Australia hufuata mfumo huu wa thesis. Lakini vyuo vingi uingereza hutanguliwa na course work na mwisho huishia na dissertation. UDSM kwa muda wote mathalani imekuwa ikito PhD katika fani zote kwa thesis isipokuwa PhD ya Economics, ingawaje kwa sasa PSPA nao wameanza kutoa PhD kwa course work.

Nadhani kwa hicho ulichokiuliza kama umefanya course darasani basi hiyo itakuwa ni dissertation kama ni level ya shahada ya uzamili. Ingawa kuna misuse ya kutumia neno dissertation kwa shahada ya kwanza kwa maoni yangu ile ni research report na sio dissertation.

Nawasilisha wakuu.
 
dearest wadau, hivi eti kuna tofauti gani kati ya dissertation na thesis? Au zote sawa? I did my research pepa last yr ya chuo kikuu,sasa nashndwa niiweke kwenye category ya dissertation au thesis.. Plz help.....

Kama ulifanya "Research Paper" then is neither a "Dissertation" nor "Thesis". Research paper is simply a research paper and is lower than a dissertation or a thesis.
 
Mkuu naomba nami nitoe maoni yangu juu ya tofauti zilizopo kati ya maneno hayo. Kwa namna yanavotumika unaweza ukadhani kwamba, yote ni sawa. Lakini kwa kile ambacho academic Institutions nyingi zinakifuata ni kwamba Thesis ni andiko la kitaaluma katika fani fulani kwa hatua ya shahada ya uzamili au uzamivu ambalo halihusishi course work. Na kumbe kwa dissertation ina maana programme hiyo mwanafunzi anafanya kwanza course work na ndipo kama sehemu ya kukamilisha ataandika tasnifu ambayo huitwa dessertation. Vyuo vikuu vingi duniani hutoa Shahada ya uzamili na uzamivu kwa mtindo wa thesis au course work with dissertation. Vyuo vingi Ujerumani, Netherlands, Australia hufuata mfumo huu wa thesis. Lakini vyuo vingi uingereza hutanguliwa na course work na mwisho huishia na dissertation. UDSM kwa muda wote mathalani imekuwa ikito PhD katika fani zote kwa thesis isipokuwa PhD ya Economics, ingawaje kwa sasa PSPA nao wameanza kutoa PhD kwa course work.

Nadhani kwa hicho ulichokiuliza kama umefanya course darasani basi hiyo itakuwa ni dissertation kama ni level ya shahada ya uzamili. Ingawa kuna misuse ya kutumia neno dissertation kwa shahada ya kwanza kwa maoni yangu ile ni research report na sio dissertation.

Nawasilisha wakuu.

uko sawa kabisa,

concept ya thesisi kwa baadhi ya vyuo hasa kwa PhDs ni composite term kwa maana kwamba ina-include final paper (thesis) plus a number of publications. kwa mfano unaweza kukuta mtu anayesoma PhD by thesis akitakiwa ku-publish a specified number of academic papers or scholarly articles kwenye academic/technical journals, contribute a chapter or chapters in a scholarly book and complete the PhD programme by submitting a final thesis paper (commonly known as a thesis).

kwa kuongezea, comparatively, thesis huwa ni ndefu kuliko dissertation. kwa kumbukumbu yangu ya harakaharaka, kwa UDSM, dissertation inatakiwa isizdi page 180, while thesisi inatakiwa kuwa within 250 pages (nakaribisha kuwekwa sawa katika hili la page limit). dissertations mara nyingi huwa na FIVE CHAPTERS (literature review na data presentation and analysis zikiwa only one chapter each) na thesisi huwa SIX CHAPTERS OR MORE (literature review and data presentation and analysis chapters zikiwa extended into more than one chapters for each respectively).

note:
1. thesisi nyingine huwa zimeandikwa in "PARTS" rather than "CHAPTERS"

2. some chapters/parts of a thesis can be improved and be published in partial fulfillment of the requirements for that specific degree programme (by thesis)
 
If your study involves a coursework and research part that research report is your dissertation. If you do a research 100% without any coursework then your big report is going to be a thesis!!!

Research Papers

Research papers are much shorter than dissertations. They are an important aspect of formal education but they lack extensive research in the field of study. They can be written on different topics and do not imply writing in a specific field of study. The time span required for writing research papers can vary from few days to weeks. A research paper will be shorter and will not cover as much information.

Dissertations

Dissertations on the other hand are more extensive when it comes to conducting research and analysis. They are much more in-depth compare to research papers and consist of thorough analysis in a particular field of study. They basically focus on something very specific. The time frame required to write a dissertation can vary from few months to even years depending on the academic level. In American universities, dissertation is submitted at the end of a PhD. In UK universities, dissertation is the more widespread expression for a large project submitted as part of an undergraduate or taught Master's degree.

Thesis

In American universities, a thesis is submitted at the end of one master degree. In UK universities, the word thesis is normally connected with PhD (doctoral) or MPhil.

Students often do not understand the difference between a research paper, dissertation and thesis. This is one of the main reasons why they are not satisfied with the grades for their projects. There is a difference between research paper, a dissertation, and thesis, and you should know it if you wants to do a perfect work.
 
With coursework it is called dissertation . Ukifanya masters, au PhD bila coursework research document utakayo produce inaitwa Thesis. Japokuwa haina maana hizo kazi ziko tofauti ki ubora ila when a person comes across your work, he/she will kow that you did/did not do course work.
 
During my master degrees I did thesis in Wageningen Holand and Dissertation in UDSM . Yet both involved course work and research presentation. The only difference i saw was defending my thesis before panel.
 
nataka kusoma masters by desertation OUT niambieni changamoto zake nipo full time kazini lushoto tanga
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom