mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Habari zenu wanajamvi mm nimemaliza kidato cha 6 mwaka huu nmepata division 1 yapoint 6 na ulizia kozi ipi nzuri kati yahizo apo juu ,ikiwa na maana kaz zake ninazo wafanya baada yakuhitim na wakati wa kuxoma kipi kirahis yaan availability ya material yake ,shukran