Geofrey Njavike
Member
- Apr 22, 2014
- 7
- 7
Bora Mimi niliekaa kimya hahahaBlog ndogo website kubwa,,
Website ni mama wa blog🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈hapo ndo uwezo wangu umeishia
Muongoblog inategemea platform kama blogger, wordpress, n.k.
website inaweza kujibeba yenyewe...
blog iko kwa free
website siyo free unalipia
blog iko limited
webiste unakula urefu wa kamba yako..
blog nakutengenezea hata kwa 10K
webiste nakutengezea kuanzia 200K nakuendea
blog haitaji ujuzi mkubwa wacomputer..
website lazima uwe ujuzi mkubwa wa computer programming
kutengeneza blog ni dakika 30
website inakuwa muda mrefu
zinatosha hizo
sema ukweli basi tuoneMuongo
Umeelezea vyema sana mama... Hili ndyo jibu sasaWebsite ni ukurasa wa mtandaoni. Wowote ule... Nikianzisha www.zurie.com ni website; ikulu wana ukurasa wao wa mtandaoni, ni website, jamiiforums.com ni website.
Blogs nazo ni websites; yaani ni aina mojawapo ya website.
Sifa za Blog
Blogs zinakuwa na frequent updates kutoka kwa mwenye/wenye blogs, ziko interactive as in zina sehemu ya kucomment, taarifa mara nyingi zinapangwa kwa muda yaani zile mpya ndo utazikuta juu au mwanzoni. Generally blogs zinatumiwa na watu kufikisha taarifa mbalimbali endelevu.
Nimejitahidi kueleza, penye makosa au kutoeleweka vizuri naomba kusamehewa!
Jibu hili hapa mkuu [emoji116][emoji116]sema ukweli basi tuone
Website ni ukurasa wa mtandaoni. Wowote ule... Nikianzisha www.zurie.com ni website; ikulu wana ukurasa wao wa mtandaoni, ni website, jamiiforums.com ni website.
Blogs nazo ni websites; yaani ni aina mojawapo ya website.
Sifa za Blog
Blogs zinakuwa na frequent updates kutoka kwa mwenye/wenye blogs, ziko interactive as in zina sehemu ya kucomment, taarifa mara nyingi zinapangwa kwa muda yaani zile mpya ndo utazikuta juu au mwanzoni. Generally blogs zinatumiwa na watu kufikisha taarifa mbalimbali endelevu.
Nimejitahidi kueleza, penye makosa au kutoeleweka vizuri naomba kusamehewa!
onyesha huo uongo tukuelimishe yazekana haujuiMuongo
siamini kama una ujuzi wa computer..Ulitudanganya kidogo mkuu ... Pekua vizuri kwenye vyanzo vyako vya maarifa utagundua kuna mambo hayako sawa kwenye jibu lako... Jibu hili hapa mkuu [emoji116][emoji116]
Sawa sawa mkuu [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] computer naijua vyema sana mkuu...siamini kama una ujuzi wa computer..
kwa ufupi hata website unaweza kuweka sehemu ya kucomment na siyo blog pekee, website pia unaweza kupanga habari kulinga na categories na siyo blog tu....nikuuliza www.milardayo.com ni blog au website?
sawa lakini naamini computer hajui mkuu😊😊😊katika yale maelezo yangu hebu nipe japo moja la uongo nioneSawa sawa mkuu [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] computer naijua vyema sana mkuu...
Millardayo.com ni blogu ile mkuu (aina ya website)
Habari wanajamii Forums ..
Nilikuwa nahitaji msaada kwa yeyote mwenye kujua utofauti Kati ya blog na website pamoja na mifano yake kwa ujumla.
Mwisho wa kuwasilisha.
KUNA MAMBO KIDOGO UMETULISHA MATANGO POLI MKUU....sawa lakini naamini computer hajui mkuu[emoji4][emoji4][emoji4]katika yale maelezo yangu hebu nipe japo moja la uongo nione
KUNA MAMBO KIDOGO UMETULISHA MATANGO POLI MKUU....
1 . blog iko kwa free
website siyo free unalipia - HATA BLOGU ZINALIPIWA ITATEGENEA NA CMS/PLATFORM UNAYOTUMIA UNAYOTUMIA KAMA NI GOOGLE BLOGGER HIYO NI FREE ILA KAMA NI WORDPRESS HAPO LAZIMA ULIPIE HOSTING MKUU
2. blog iko limited
webiste unakula urefu wa kamba yako.. PIA ULIMITED WA BLOGU UNATEGEMEA NA CMS UNAYOTUMIA... MFANO KWA WANAOTUMIA GOOGLE BLOGGER(BLOGSPOTI.COM) WAKO LIMITED
HAYO MENGINE UKO SAWA
Blogsiamini kama una ujuzi wa computer..
kwa ufupi hata website unaweza kuweka sehemu ya kucomment na siyo blog pekee, website pia unaweza kupanga habari kulinga na categories na siyo blog tu....nikuuliza www.milardayo.com ni blog au website?
blogger , wordpress zote ni free swala la hosting hata blogger unaweza lipia hosting kuondoa neno .blogspot.com na .wordpress.com kulipia lazima.
swala la limited kasome Terms and Condition na issue za Privacy ya platform yoyote iwe blogger, wordpres n.k. uko limited wala sio cms
Umejitahidi sanaBlog ndogo website kubwa,,
Website ni mama wa blog[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]hapo ndo uwezo wangu umeishia