Hivi vinaumiza vichwa kwamba hawa watoto wa mafisadi wanataka kututawala. Ni hatari sana kuona wanatumia "the same play book za Baba Zao Kuingia Kwenye Politics na Utajiri-Ufisadism"
Kwetu sisi Watanzania, Watoto wa Mafisafdi ni sawa kabisa na Watoto wa Gaddafi na Mubarak
Mtoto wa Gaddafi Ameiba billions za fedha na sasa ametangaza Vita na Walibya
Mtoto wa Mubarak Ambaye Ameiibia Egypt Billions of dollars
Maswali kwetu watanzania ni haya:
1. Kitu gani kinatushinda kusimamisha haya majanga nchini mwetu?
2. Anayekubali kuwaweka hata ndani ya ccm ni nani?
3. Kwa hiyo ufisadi ndio njia inawafanya wananchi kuwabeba migongoni mpaka familia zao zitumalize
4. Deals kama "Downs" zinapikwa tena na January kwenye vikao vya siri (bungeni) ili Watanzania waelezwe umunimu wa umeme wakati "kuna makumpuni mengi duniani yapo tayari kusaidia solution ya umeme long term"
"This is not democracy ni ufisadism"
Jerry silaa ni mtoto wa maafisa polisi wawili,sio mtoto wa fisadi kwa ninavyoijua familia yake baba yake anaitwa capt william silaa alikuwa rubani wa ndege za police,mama yake rose alikuwa afisa wa police japo ameshatangulia mbele za haki,ni mtoto wa 4 na wa mwisho ktk familia yao,kuna fredx,dr rose,capt solomon na mstahiki jerry.unaswali lingine ni kweli kasoma pugu kwao ni hapo pembeni mwa kambi la mabomu gmbotoJust being curious .... hv huyu January alisoma Pugu Secondary??
Anaye jua anijuze ... what abt Jerry Slaa!!
Mi namjua huyu dogo katika hii familia.Jerry silaa ni mtoto wa maafisa polisi wawili,sio mtoto wa fisadi kwa ninavyoijua familia yake baba yake anaitwa capt william silaa alikuwa rubani wa ndege za police,mama yake rose alikuwa afisa wa police japo ameshatangulia mbele za haki,ni mtoto wa 4 na wa mwisho ktk familia yao,kuna fredx,dr rose,capt solomon na mstahiki jerry.unaswali lingine ni kweli kasoma pugu kwao ni hapo pembeni mwa kambi la mabomu gmboto
Hao hawana tofauti na wale watotot wa Sadam Hussein. ambao mwisho wao haukuwa mzuri, wanaitwa akina nani vile?
Uday & Qusay Saddam Hussein!Hao hawana tofauti na wale watotot wa Sadam Hussein. ambao mwisho wao haukuwa mzuri, wanaitwa akina nani vile?
Mi namjua huyu dogo katika hii familia.
Yeye ameamua kuchukua fani ya baba yake...aliingizwa kimagumashi kwenye helikopta za polisi hatimaye akaqualify...baadaye akaona hailipi kufanyia kazi huko akaamua kuingia kampuni ya Northen air ambako akawa anarusha ndege za aina ya Caravan....Hakuridhika pia, akachomokea Governments Flights, ambako yupo hadi sasa akiwa Co-Pilot wa Fokker-50!
Hawa wote wanataka kurithishwa madaraka kama wafalme! kwani hamuwajui baadhi ya wakwere wanavyopenda ufalme.
KWA HAPA WAMEULA WA SHUYA, 2tapiga mmoja mmoja.
Just being curious .... hv huyu January alisoma Pugu Secondary??
Anaye jua anijuze ... what abt Jerry Slaa!!