Nadhani hapa hakuna jibu la moja kwa moja. sababu zaidi ya hizi hata uwezo wa CPU(circulation per second) pia unategema vitu vingine kama MEMORY( cache, RAM) pia vina affect perfomance ya mashine
Lakini kwa kigezo cha kupima CPU peke unaweza ukajichanganya.
Chukulia Mfano wa kwanza uwe na gari mpya(CPU eg 2.4 GHz) inapita kwenye bara bara yenye matope(eg 16 bytes registers, cache,)
Alafu uwe na gari nyingine ya kwaida(1.8 GHz) lakini njia yake ni ya lami (bus, register, cache zake zinasafirisha data katika capacity ya 32 au 6 bytes)
Kwa uelewa wangu CPU speed ni kitu muhimu lakini its a combination of factor more than a CPU wich will give u nice package.
Intel na AMD ni baadhi ya kampuni kubwa za kutengeza processors katika Teknolojia ya habari na mawasiliano hakuna jibu la moja kwa moja kuwa hiki ni bora kupita kingine . Inategemea na mahitaji, matumizi.
Intel( Celeron, centrino and pentium)wamekuwepo kwa muda mrefu na brand yao ina jina kubwa hasa katika level ya desktop na laptop.
kwa maelezo ya kifundi zaidi tembelea
http://www.hardwaresecrets.com/article/577
Hizi ni baadhi ya wanavyosema wataalamu
Celeron processors seem to have very high processor speeds but you can't trust them for high functionality like 3d gaming because they overheat. So a celeron 2.2Mhz for instance could b equivalent to a Pentium M wit 1.5-1.8mhz. So don't b decieved.
Celeron is a not good for a laptop because if your laptop ain't got 2 fans, then, you might as well be prepared to change the body pretty soon.- Baadhi ya watu wenye laptop za Celeron driven CPU wanaweza kuona tatizo hasa kwa mazigira ya joto kama dar
Kwa haraka haraka kama mdauunaweza kusummary kama Samjet alivyosema but in detail basi maelezo ni mengi na yanaweza kukuchanganya.