Tofauti baina ya Hizi processor na ubora wa Computer

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,831
1,296
Wana jamvi naomba kuelimishwa zaidi katika lugha rahisi

Hivi karibuni kumekuwa na processors za Core, Duo Core na Celeron zote zikiwa ni product za kampuni ya Intel. Inamaanisha nini kuwa na moja wapo ya processor hizo na zinazidiana vipi kiuwezo na ni kwa matumizi yapi (kazi za kihasibu; server na watumiaji wa kawaida). Tuendelee kujifunza.
 
Dual Core ni kwa heavy duty caluculations, ni nzuri kwa programmers na wale wanaokaa kwenye PC muda mrefu. Ina saidia RAM katika speed acceleration na unaweza kutumia pc a for long time.
CELERON ni for lightest working conditions. Mara nyingi iko kwenye palmtops, afadhali Core
 
Kunatofauti gani katika ya Core 2 Duo na Dual Core?

Pia naomba msaada katika ya processors za AMD na Intel, ipi bora!
 
Nadhani hapa hakuna jibu la moja kwa moja. sababu zaidi ya hizi hata uwezo wa CPU(circulation per second) pia unategema vitu vingine kama MEMORY( cache, RAM) pia vina affect perfomance ya mashine

Lakini kwa kigezo cha kupima CPU peke unaweza ukajichanganya.

Chukulia Mfano wa kwanza uwe na gari mpya(CPU eg 2.4 GHz) inapita kwenye bara bara yenye matope(eg 16 bytes registers, cache,)

Alafu uwe na gari nyingine ya kwaida(1.8 GHz) lakini njia yake ni ya lami (bus, register, cache zake zinasafirisha data katika capacity ya 32 au 6 bytes)

Kwa uelewa wangu CPU speed ni kitu muhimu lakini its a combination of factor more than a CPU wich will give u nice package.

Intel na AMD ni baadhi ya kampuni kubwa za kutengeza processors katika Teknolojia ya habari na mawasiliano hakuna jibu la moja kwa moja kuwa hiki ni bora kupita kingine . Inategemea na mahitaji, matumizi.

Intel( Celeron, centrino and pentium)wamekuwepo kwa muda mrefu na brand yao ina jina kubwa hasa katika level ya desktop na laptop.

kwa maelezo ya kifundi zaidi tembelea http://www.hardwaresecrets.com/article/577

Hizi ni baadhi ya wanavyosema wataalamu
Celeron processors seem to have very high processor speeds but you can't trust them for high functionality like 3d gaming because they overheat. So a celeron 2.2Mhz for instance could b equivalent to a Pentium M wit 1.5-1.8mhz. So don't b decieved.

Celeron is a not good for a laptop because if your laptop ain't got 2 fans, then, you might as well be prepared to change the body pretty soon.- Baadhi ya watu wenye laptop za Celeron driven CPU wanaweza kuona tatizo hasa kwa mazigira ya joto kama dar

Kwa haraka haraka kama mdauunaweza kusummary kama Samjet alivyosema but in detail basi maelezo ni mengi na yanaweza kukuchanganya.
 
Ninayo kompyuta yenye processor ya celeron 1.7ghz na nimeitumia kwa miaka kama 5 kwenye shughuli za video editing na graphics zingine.
Kuna fundi mmoja aliniambia ni bomu na haitamaliza miaka mingi just kwa ajili ya jina sijui? lakini niliitumia kwa muda mrefu na ilikuwa ikifanya kazi kwa kipindi kirefu sana kila siku za wiki.
Niliipumzisha mwaka 2008 ikiwa nzima kabisa na nikiwa sijapata shida yoyote.
Ninavyoandika hapa bado ni nzima na inachapa mzigo ingawa sasa si kwa matumizi kama yale ya zamani. Hata techinicians waliokuwa wakiiponda mpaka leo wanashangaa maana rafiki zangu waliokuwa wamenunua hizo za duo core wameshabadilisha si tu processors bali hata mother boards zao. Hii chuma inakwenda mbele bila kubadilishwa chochote kwa miaka yote hiyo.
Kama walivyobainisha wakubwa katika fani inategemea sana. Ila Duo2core inaprocess kwa haraka sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom